Malipo ya Ukaidi
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.
Hadithi za Kusisimua Zinazofundisha Stadi za Maisha
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuwa watiifu kila wakati kwa
sababu uchaguzi una matokeo
Kilo na Meme wanapenda kuogelea. Mama anapoondoka kwenda sokoni, wanaamua kwenda mtoni bila ruhusa yake. Je, watakumbana na nini mtoni?
Reviews
There are no reviews yet.