Maneno ya Mwanzo by Abdul m Gugu
Original price was: KSh277.78.KSh250.00Current price is: KSh250.00.
Maneno ya Mwanzo ni kitabu kinachonuiwa kujenga msingi thabiti wa kusoma. Kitabu hiki kimekusudiwa wanafunzi waliomaliza shule za chekechea na kuanza masomo yao katika shule za msingi. Kitabu hiki kinafaa kutumiwa na wanafunzi wa darasa la kwanza.
ISBN: 9781957331348
Reviews
There are no reviews yet.