Mashairi ya Wanyama 5e by Ali hassan Kauleni, Elvera Shabiha
Original price was: KSh327.78.KSh295.00Current price is: KSh295.00.
Sina chembe ya uzuri, mbali na mimi kaeni … ni mojawapo ya sifa anazojipatia mnyama huyu ambaye ni mmoja wa wanyama wanaozungumza kwenye kitabu hiki. Je, wanyama hawa wanasema nini kuhusu sifa zao? Je, wanaamini kuwa wana umuhimu gani kwa binadamu? Je, wanyama hawa wana malalamishi yapi kuhusu jinsi binadamu wanavyowachukulia?Kitabu hiki chenye mashairi ya kupendeza kinalenga kuwasaidia wanafunzi kutambua sifa na umuhimu wa wanyama mbalimbali. Kadhalika kitabu hiki kitawafunza wanafunzi kusoma na kufurahia ushairi.Mashairi ya Wanyama ni mojawapo ya vitabu katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na Kozi ya Kiswahili Sanifu.
ISBN: 9780195739848
Reviews
There are no reviews yet.