Matu atuzwa by Mugambi
Original price was: KSh261.12.KSh235.00Current price is: KSh235.00.
Siku iliyofuata, mwanamume aliyekisahau kitabu alirudi dukani na zawadi. Alikuwa amemletea Matu kitabu cha kupendeza. Kitabu chenyewe kilikuwa kimejaa picha za wanyama wa pori. Kilikuwa ni cha watoto na Matu alikipenda sana. Je, ni kwa nini Matu alipewa zawadi ya kitabu?
ISBN: 9789966341839
Reviews
There are no reviews yet.