Cart

    Your Cart is Empty

    Back To Shop

      Cart

      Your Cart is Empty

      Back To Shop
      Sale!

      NANA YUKO WAPI? STORYMOJA

      Original price was: KSh466.00.Current price is: KSh420.00.

      Nana ni sungura mdogo mwenye vipaji chungu nzima. Anavikuza vipaji vyake kwa bidii. Licha ya hayo, Nana haachi kufanya kazi shambani. Je, ana vipaji vipi? Je, anafanikiwa katika shughuli zake za shambani?
      Mtoto wako ni wa kiwango gani cha usomaji? Tumia vigezo vifuatavyo kubainisha kiwango cha mtoto
      wako ili umpe vitabu mwafaka kulingana na uwezo wake wa kusoma. Hivi ndivyo vidokezi: KIWANGO CHA MWIBUKO (A, B, C).
      Msomaji anajifundisha kuhusisha neno na picha. Msomaji anajifundisha kutambua herufi na nambari.
      Msomaji anaweza kutambua picha zenye uhalisia pekee.
      KIWANGO CHA MWANZO (D, E, F)
      Msomaji anakuza uwezo wake wa kutambua maneno.
      Msomaji anakumbuka maneno kwa urahisi anapoyarudia.
      Msomaji anafahamu hadithi kwa kutegemea picha.
      MA
      KIWANGO CHA MPITO (G, H)
      Msomaji anajifundisha kusoma kwa ufasaha na kuigiza vitendo na hisia.
      Msomaji hategemei sana picha kuelewa hadithi.
      Msomaji anatambua na kufurahia mitindo tofauti ya picha.
      KIWANGO CHA KATI (1,1)
      Msomaji anasoma bila kutegemea kusaidiwa.
      Msomaji anafurahia kusoma hadithi za aina tofauti..
      Msomaji anaweza kusoma na kuelewa hadithi zenye ujumbe tata.

      ISBN: 9789966620231

      Reviews

      There are no reviews yet.

      Be the first to review “NANA YUKO WAPI? STORYMOJA”

      Your email address will not be published. Required fields are marked *

      1 of 5 stars 2 of 5 stars 3 of 5 stars 4 of 5 stars 5 of 5 stars

      Sale!
      Make Your Order

        Cart

        Your Cart is Empty

        Back To Shop
        Call Us
        COMPARE PRODUCTS