Ndege wa Nyumbani 1b
Original price was: KSh225.00.KSh203.00Current price is: KSh203.00.
Watu wanaishi na ndege wa aina tofauti nyumbani.
Ndege wa nyumbani ni wazuri.Ndege hao wanawasaidia watu kupata vitu mbalimbali.Watu nao wanawasaidia ndege hao kukaa mahali pazuri na salama. Ndege hao pia wanapewa vyakula na maji.Ndege hutoa sauti za aina tofauti.Soma kitabu hiki. Utawajua ndege wa nyumbani na umuhimu wake kwetu,pia utajua sauti zao
ISBN : 9789966347756
Reviews
There are no reviews yet.