Cart

    Your Cart is Empty

    Back To Shop

      Cart

      Your Cart is Empty

      Back To Shop
      Sale!

      Nimlaumu Nani? by Roy G Ndambuki

      Original price was: KSh366.00.Current price is: KSh330.00.

      Nimlaumu nani? 7a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo katika kusoma kwa wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

      • Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthilia.
      • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, majadiliano, uhalisia, maswali anuwai, mbinu rejeshi na sentensi fupifupi.
      • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya watoto wa mitaani au barabarani. kituo cha kuwalea na kuwarekebisha chokora. haki za watoto, umuhimu wa mtoto msichana katika jamii, kujitambua. kusaidiana, kushirikiana, kushauriana na maadili mema.

      ISBN: 9780195733143

      Reviews

      There are no reviews yet.

      Be the first to review “Nimlaumu Nani? by Roy G Ndambuki”

      Your email address will not be published. Required fields are marked *

      1 of 5 stars 2 of 5 stars 3 of 5 stars 4 of 5 stars 5 of 5 stars

      Sale!
      Make Your Order

        Cart

        Your Cart is Empty

        Back To Shop
        Call Us
        COMPARE PRODUCTS