Cart

    Your Cart is Empty

    Back To Shop

      Cart

      Your Cart is Empty

      Back To Shop
      Sale!

      Paka onja by Story Moja by Rebecca Nandwa

      Original price was: KSh422.00.Current price is: KSh380.00.

      Jumatatu asubuhi, Malit ameshindwa kuamka ili aende shuleni. Dada yake mdogo,
      Nashipae, anashangazwa na kulala huku kwake kwa muda mrefu. Je, ni tabia
      mpya ya Malit ama anaugua? Kwa kawaida, Malit ndiye humwamsha Nashipae kila siku.
      Nashipae anawaarifu wazazi kisha wanatambua kuwa Malit anaugua. Anapelekwa hospitalini mbiombio.
      Bi Pulei anapomfikisha mwanawe Malit hospitalini, anagundua kuwa ufisadi umekita mizizi huko.
      Mama yuko katika njia panda. Atoe hongo ili mwanawe ahudumiwe ama asitoe ili adumishe uzalendo?

      ISBN: 9789966066862

      Reviews

      There are no reviews yet.

      Be the first to review “Paka onja by Story Moja by Rebecca Nandwa”

      Your email address will not be published. Required fields are marked *

      1 of 5 stars 2 of 5 stars 3 of 5 stars 4 of 5 stars 5 of 5 stars

      Sale!
      Make Your Order

        Cart

        Your Cart is Empty

        Back To Shop
        Call Us
        COMPARE PRODUCTS