Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Queenex Kiki na Mina Darasani na Hadithi Nyingine 1A by Pauline Kea

Original price was: KSh322.00.Current price is: KSh290.00.

Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Kwanza na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:
– Karibu darasani
– Mimi na wenzangu
– Tarakimu

ISBN: 9789966141118

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Queenex Kiki na Mina Darasani na Hadithi Nyingine 1A by Pauline Kea”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!
Make Your Order

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us