Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Queenex Kima Mtukutu na Hadithi Nyingine by Titus Kazungu

Original price was: KSh322.00.Current price is: KSh290.00.

Kumbo hili la hadithi za kupendeza zenye mguso wa Kiafrika tena za kifoniki lina jumla ya hadithi kumi na sita. Kila hadithi inaanza kwa kutanguliza sauti lengwa, vianzio, maneno teule, na maneno yenye urari. Hadithi hizi zinalenga kurahisisha ufunzaji wa stadi maalum za usomaji. Msururu huu utamsaidia msomaji kukuza stadi za usomaji darasani na kupalilia tabia ya kusoma maktabani na katika mazingira mbalimbali ikiwemo nyumbani na hivyo kukuza stadi za maisha na maadili.

ISBN: 9789966140869

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Queenex Kima Mtukutu na Hadithi Nyingine by Titus Kazungu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!
Make Your Order

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us