Storymoja Giza la Muda by Storymoja
Original price was: KSh644.44.KSh580.00Current price is: KSh580.00.
Nana anahudhuria sherehe ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa rafiki yake wa chanda na pete, Judi. Huko, anakutana na mwigizaji maarufu ambaye ameigiza kama mhusika mkuu katika kipindi cha runinga kinachowalenga vijana. Papo hapo, Nana anapiga urafiki na mvulana huyo maarufu; urafiki ambao unaishia kuwa majuto.
Giza la Muda ni hadithi inayoangazia changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana katika jamii na jinsi ya kukabiliana nazo. Changamoto hizo ni kama vile ushawishi wa marika na mimba za mapema.
ISBN: 9789966623638
Reviews
There are no reviews yet.