Storymoja: Karamu ya Nyani na Kobe 3B by Stanley Gazemba
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.
Urafiki wa Nyani na Kobe ni wa kupigiwa mfano pale msituni. Marafiki hawa wawili wana ushirikiano mkubwa hadi pale Nyani anapomwandalia mwenzake karamu. Je, ni matukio gani yanayofanyika karamuni? Kobe atamwandalia karamu rafikiye Nyani pia au atauvunja urafiki wao?
ISBN: 9789966623164
Reviews
There are no reviews yet.