Storymoja: Koko Riko anafanya nini? by Story Moja by Muchemi
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.
Wasaidie watoto wako kunca akili na kukuza ubunifu
Vitabu vya kunoa akili na kukuza ubunifu vinaburudisha na wakati uo huo na vikifunza. Mazoezi ya kuchora, kupaka rangi, mafumbo, michezo na lugha husaidia watoto kujifunza na kujichanganulia mambo na kujiamulia. Jadili na watoto maswali yaligyomo kwenye kitabu hiki na uwahimize kuwa wabunifu.
Wanafunzi, kama watu wazima, wana tofauti zao. Unaweza kununua vitabu vya viwango vya juu ama chini, kulingana na uwezo wa mtoto wako kusoma.
ISBN: 9789966621528
Reviews
There are no reviews yet.