Tamaa ya Panya by Meenye
Original price was: KSh233.00.KSh210.00Current price is: KSh210.00.
Bi Paka na Bi Panya ni marafiki wa dhati. Siku moja, Bi Panya agundua pango lililo na chakula kitamu ajabu. Je urafiki wao utadumu ingawa chakula cha Bi Panya ni kitamu kuliko cha Bi Paka?
ISBN: 2010143000435
Reviews
There are no reviews yet.