Uamuzi wa wanyama
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.
Kwa miaka na mikaka, wanyama katika msitu wa Ngome wameishi kwa amani. Mfalme Simba anaandaa karamu ya kusherehekea urafiki baina ya wanyama. Hata hivyo, karamu inakatizwa wanyama wanaposhambuliwa kwa vijiti kutoka angani. Baadhi ya wanyama wanakufa. Wanyama wanaosalia wanalazimika kupambana na adui wasiyemfahamu. Vita vinabadili vipi uhusiano miongoni mwa wanyama?
Reviews
There are no reviews yet.