Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Vituko vya Gogo Mbugani

Original price was: KSh466.00.Current price is: KSh420.00.

Hadithi za Kusisimua Zinazofundisha Stadi za Maisha

Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 8-9 (Gredi 4). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuongoza

Mbuzi kwa jina Go-go anapotelea katika mbuga ya wanyama ya Nairobi. Anakumbwa na hofu akikumbuka wanyama hatari wa porini wanaoweza kumgeuza kitoweo. Mbuzi Go-go hana budi kutumia akili la sivyo apatwe na makubwa. Je, Mbuzi Go-Go atafanya nini ili arejee kwao salama salamini?

Author:
Edwin Mokaya

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vituko vya Gogo Mbugani”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us