Vituko Vya Sugura 4d by Pauline Kea
Original price was: KSh294.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00.
Vituko vya Sungura 4d ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusomo. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- masimulizi rahisi ya hadithi za kale kwa njia ya shairi.
- kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi, ukariri wa beti za shairi, semi, tashihisi na picha za rangi zenye kusisimua.
- kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kusaidiana na kushirikiana wakati wa shida, stadi za maisha. uwajibikaji, utu, uvumilivu, uadilifu, haki, kuishi kwa utangamano na amani.
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu .
ISBN: 9780195734508
Reviews
There are no reviews yet.