Wanyama wa Nyumbani 1b by Catherine Wanjiku
Original price was: KSh227.00.KSh205.00Current price is: KSh205.00.
Watu wanaishi na wanyama wa aina tofauti nyumbani. Wanyama wa nyumbani ni wazuri. Wanyama hao wanawasaidia watu kupata vitu mbalimbali. Watu nao wanawasaidia wanyama hao kukaa mahali pazuri na salama. Wanyama hao pia wanapewa vyakula na maji. Wanyama hutoa sauti za aina tofauti. Soma kitabu hiki. Utawajua wanyama wa nyumbani na umuhimu wake kwetu,pia utajua sauti zao.
ISBN: 9789966347671
Reviews
There are no reviews yet.