Sale!
Sale!
Zeruzeru Shujaa wa Kijiji na Hadithi Nyingine level 6 by Queenex
Original price was: KSh388.00.KSh350.00Current price is: KSh350.00.
Zeruzeru Shujaa wa Kijiji ni hadithi inayoonesha ushujaa na ujasiri wa aina yake. Hadithi hii inaonesha jinsi mvulana zeruzeru anavyoisaidia jamii yake kutatua tatizo la miaka na mikaka. Ni hadithi inayodhihirisha ukweli kuwa japo wanadamu tunaweza kuwa na tofauti za kimaumbile, tuna uwezo sawa.
ISBN: 9789966141446
Reviews
There are no reviews yet.