Ziara ya Kutisha na hadithi nyingine storymoja
Je, Umewahi kumzuru jamaa yako yeyote lakini ukapanda gari la umma silo? Mwandishi wa hadithi ya Ziara ya Kutisha anasimulia jinsi alivyotatizwa na kuchanganyikiwa wapi alopokwenda. Je, atamwamini nani amwelekeze njia? Soma hadithi hii, na nyingine za kusisimua, ugundue masaibu ya mwandishi na namna alivyoweza kuyakabili.
Reviews
There are no reviews yet.