Shop
Showing 2545–2568 of 2644 results
-
Ua la Muli by Story Moja by Nyanchoka
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartKuna shamba lenye maua maridadi. Hata hivyo, ua moja tu la Muli ndilo halipendezi. Je, Muli atalifanyia nini? ISBN: 9789966621153
-
Uamuzi wa wanyama
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartKwa miaka na mikaka, wanyama katika msitu wa Ngome wameishi kwa amani. Mfalme Simba anaandaa karamu ya kusherehekea urafiki baina ya wanyama. Hata hivyo, karamu inakatizwa wanyama wanaposhambuliwa kwa vijiti kutoka angani. Baadhi ya wanyama wanakufa. Wanyama wanaosalia wanalazimika kupambana na adui wasiyemfahamu. Vita vinabadili vipi uhusiano miongoni mwa wanyama?
-
Uchochole si Kilema by Nyambu
Original price was: KSh244.00.KSh220.00Current price is: KSh220.00.Add to cartKulanga alizaliwa katika maingira magumu yasiyosikika wala kutajika.
Hali hii haikulua ndoto yake ya kufanikiwa Tabia njema na bidii yake
zilimfanya aheshimike na walimu pamoja na wenzake shuleni
Wavyele wake walipoipa dunia kisogo, ilionekana kana kwamba hataweza kufikia ile ndoto ya ajabu aliyokuwa nayo.
Mfadhili wake anauawa kwa sumu na kisha mke wa mfadhili kukatisha ufadhille kijana huyu atafanyaje i kufanikiwa
maishani na kuifikia ndoto yake?ISBN: 9789966075260
-
Ufalme wa mende
Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartUfalme wa Mende ni hadithi ya kusisimua inayolenga kutoa tahadhari dhidi ya kutozingatia usafi.Mzee tabu na mwanawe anayeitwa Mchafu, wanaathirika sana na mende hali inayoletwa na kutopenda usafi.
Nyumba ya mzee Tabu imekuwa miliki ya mende.Imetawaliwa na mende. Ufalme wa Mende. Mende hawa wanaleta maangamizi makubwa ya kuatua moyo.kUNATOKEA NINI?
ISBN: 9789966140210
-
Ujasiri wa Tito by Pamela Ngugi
Original price was: KSh350.00.KSh315.00Current price is: KSh315.00.Add to cartTito alijua kwamba hii ndio nafasi ya pekee aliyokuwa nayo ya kujinasua Alijua kuwa ujasiri wake tu ndio ungemwokoa Tito alikabiliwa na hatari kubwa. Hatari hii ilitishia kumpoteza kwao milele. Hatari hii ingemtenganisha na wazaziwe na nduguye, Jesi, daima.Tito aliogopa haya. Aliogopa sana. Ndiyo maana aliamua kujijasiri. Alijua kuwa ujasiri huu huenda ungemletea adhabu kali, lakini hakuwa na budi ila kujitwika ujasiri huu. Ilimbidi afanye lolote, ajikakamue, mradi tu ajiokoe! Ujasiri wa Tito ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
ISBN: 9780195739824
-
Unlikely Burden and Other Stories longhorn
Original price was: KSh777.00.KSh700.00Current price is: KSh700.00. -
Uno Ball Pens Medium Blue
Original price was: KSh22.00.KSh20.00Current price is: KSh20.00. -
Uno Card Game For Family Fun
Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00. -
Upepo wa mvua
Original price was: KSh467.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00. -
Upside Down by Oxford
Original price was: KSh361.00.KSh325.00Current price is: KSh325.00.Add to cartThe NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.
There are ten readers for each class specially written to emphasize specific language skills learned in the main course.
Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
Other titles for Class Eight
8a Licence to Fly
8b Arrested by a Police Dog
8c Kidnapped
8d The Bullfight
8e Guilty or not Guilty?
8f A Good Question
8g On the Run
8h In the Nick of Time
8j A Double WinISBN: 9780195734775
-
Urafiki wa Siafu na Ndege
Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartSiafu anaenda mtoni kunywa maji. Akiwa kando ya mto anateleza na kuingia majini. Je, Ndege aliyekaribu anamwokoa? Akimwokoa, atamsaidia Ndege vipi?
-
Ushindi wa Kironje na hadithi nyingine
Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartHuu ni mkusanyiko wa hadithi kumi na mbili, zenye mafunzo sufufu katika jamii ya leo. Ni hadithi ambazo zitakufanya uache kula pilau kwa samaki ili uzisome kwanza! utakapokuwa ukizisoma, zitakufanya usahau ulikuwa na mlo mezani kutokana na ucheshi uliomo. Hadithi hizi zinanuia kuwafundisha wanafunzi maadili ili wajenge mustakabali.
ISBN: 9789966140029
-
Usicheze na moto! 4b by Pamela M.Y.Ngugi
Original price was: KSh288.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00.Add to cartUsicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo jjjp kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki fii:
- Masimulizi rahisi ya hadithi.
- Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya michezo ya kitoto, ushirikiano na ujirani mwema, kichekesho, sifa na hulka za watu tofauti na maarifa juu ya kukabiliana na hatari ya moto.
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. Vitabu vingine katika kiwango hiki ni:
ISBN: 2010143000235
-
Usicheze na moto! 4b by Pamela M.Y.Ngugi
Original price was: KSh288.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00.Add to cartUsicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo jjjp kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki fii:
- Masimulizi rahisi ya hadithi.
- Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya michezo ya kitoto, ushirikiano na ujirani mwema, kichekesho, sifa na hulka za watu tofauti na maarifa juu ya kukabiliana na hatari ya moto.
ISBN:9780195730715
-
Usicheze na moto! 4b by Pamela M.Y.Ngugi
Original price was: KSh288.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00.Add to cartUsicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo jjjp kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki fii: Masimulizi rahisi ya hadithi. Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi …
-
Uteuzi wa Chale Level 7 (One Planet) by Assumpta K.Matei
Original price was: KSh333.00.KSh300.00Current price is: KSh300.00.Add to cart..binadamu ametunukiwa vipawa anuwai na Mwenyezi Mungu. Kuna vile ambavyo ni wazi kama meno ya ngiri
ambavyo hata wenzake wanaviona. Kuna vile ambavyo sharti mja mwenyewe ajikune kichwa kuvitambua na kuvipalilia, hata
kwa kusaidiwa na wengine. Hata hivyo, binadamu ana hiari ya kukikuza kipawa akitakacho. …uteuzi wa utakachotumia zaidi
kwa ajili ya kuitumikia jamii yako utakuwa wako binafsi.”Uteuzi wa Chale ni kisa cha kusisimua kuhusu Chale, kijana anayejinyanyua kuvitambua vipawa alivyojaliwa na kuvikuza
kwa manufaa ya jamii yake, licha ya vikwazo vinavyomkabili. Hadithi hii inampa msomaji fursa ya kujitambulisha na mazingira yake na kumpa stadi za kukabiliana na_hali zinazomkumba.ISBN: 9789914410051
-
Veda Crayons – 8 Pieces Per Pack
Original price was: KSh55.00.KSh50.00Current price is: KSh50.00. -
VEDA CRAYONS 12S
Original price was: KSh111.00.KSh100.00Current price is: KSh100.00. -
Veda flourecent booklet
Original price was: KSh611.00.KSh550.00Current price is: KSh550.00. -
VEDA GLITTER GLUE GS-07 6G 6PCS by Veda
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Veda Jumbo Crayons Cr-J12A Pack of 12 KSh350.00
Original price was: KSh400.00.KSh360.00Current price is: KSh360.00. -
Veda Modelling Clay 500gms
Original price was: KSh288.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Veda Ruler RL-12 30CM
Original price was: KSh55.00.KSh50.00Current price is: KSh50.00. -
Veda Scientific Calculator SX-82MS by Veda
Original price was: KSh2,222.00.KSh2,000.00Current price is: KSh2,000.00.