Shop
Showing 2641–2644 of 2644 results
-
Ziara ya Meno by Zawadi
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartZiara ya Meno Siku ya Meno ni hadithi ya pili katika msururu wa “Mazingira na Afya’.
Kitabu hiki kinashughulikia usafi na afya ya meno. Lengo hili limetimizwa kupitia safari ya akina Baraka na Zawadi.
Njia za kutunza meno na athari za kutoyatunza zimewekwa wazi kupitia majadiliano baina ya wahusika.
Je, wahusika wananufaika mwisho wa kikao?ISBN: 9789966788849
-
Zimwi Hilo By Moran
Original price was: KSh383.00.KSh345.00Current price is: KSh345.00.Add to cartMzee Nuru aliwasimulia wanafunzi hadithi ya kusisimua. Hadithi hiyo ilihusu zimwi lililokuwa likiwashambulia wanakijiji wa Pumbao na kuwaua wengi. Zimwi hilo halikuonekana wala kujulikana. Lilisemekana liliishi katika msitu mkubwa uliokuwa karibu na kijiji. Vijana waliamua kulisaka zimwi hilo lakini wakaambulia patupu. Kitendawili cha zimwi kilizua taharuki kijijini. Mkutano uliandaliwa huku kukiwa na shuku na shauku …
-
Zimwi La Leo Longhorn
Original price was: KSh294.00.KSh265.00Current price is: KSh265.00.Add to cart“Mimi sitaki matunda. Ninataka pesa!” Lilifoka Zimwi. “Jamani ndio mti gani huo unaozaa pesa?” Mzee mmoja alitaka kujua. “Mpaka na mpesa unaozaa pesa!” Alimaka mwingine. Hadithi hii inahusu zimwi ambalo sote twalijua. Lakini sio zimwi la kawaida.
-
Ziro, rafiki mnafiki by Queenex
Original price was: KSh388.00.KSh350.00Current price is: KSh350.00.Add to cartAnabel Suluhu, msichana wa miaka 12, anasimulia jinsi anavyoponea tendo la unajisi kwa tundu la sindano. Fredrick Ziro, ambaye ni mkulima hodari wa kijijini, tena rafiki wa karibu wa familia ya akina Anabel, anajifanya mtu mwema sana na mtetezi wa haki za wasichana kijijini. Anaonyesha ukarimu mkubwa kwa Anabel na mama yake, kumbe chini kwa …