Shop
Showing 25–48 of 2644 results
-
Access Kiswahili Sahili Grade 6 (Approved)
Original price was: KSh722.23.KSh670.00Current price is: KSh670.00.Add to cartKiswahili sahili grade ya 6, ni kitabu kilichoandikwa kulingana na mtaala ya kiulimisi kitabu hiki kinashughuli kwa mwanafunzi pamoja na pichaza kutosha kumuwezesha kupata umilisi utakiwao.
-
Adhabu ya Joka by Bitugi Matundura
Original price was: KSh450.00.KSh405.00Current price is: KSh405.00.Add to cartFuraha ya kila mwanandoa huwa ni kupata mtoto …Kibuka na Kalimuzo wanaishi kwa miaka kumi na miwili bila kujaaliwa kupata mtoto. Maadamu Mungu si Athumani, hatimaye wanajaaliwa kupata mtoto wa kiume wanayemwita Ziro. Je, mtoto huyu alikuwa chanzo cha furaha au huzuni kwa wazazi wake? Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ni methali yenye mashiko makuu katika maisha ya Ziro. Analelewa katika mazingira ya kuenpekezwa sana na wazazi wake kiasi cha kumfanya kuishia kuwa samaki ambaye hakukunjwa angali mbichi. Je, Ziro anabadilika hatimaye? Hii ni hadithi ya kuwaonya vijana dhidi ya uhalifu kama vile wizi kwani Ziro anapata adhabu ya joka anapoiba sanduku lililodhaniwa kuwa na pesa nyingi sana.
ISBN: 9789966362131
-
Adhabu ya Mbuzi 5a by Maanga
Original price was: KSh238.89.KSh215.00Current price is: KSh215.00. -
Advancing in English Form 1 by Vikiru
Original price was: KSh777.00.KSh700.00Current price is: KSh700.00.Add to cartThis is a ground-breaking and comprehensive English course specially writen in line with the new syllabus for secondary schools. The structure and functions of English in this course are taught through imaginative and stimulating reading passages, value-added illustrations and activities which are carefully graded and reflect the rich cultural variety of the world students live in. The Advancing in English course emphasizes that language is primarily for communication and must be both integrated and contextualized. The course makes teaching enjoyable and captivating by; • presenting sequentially well -organised skills: speech, reading, grammar and writing. • Integrating text and illustrations to boost understanding. • giving numerous highly educative indoor and outdoor activities. • employing a user-friendly approach which is well-centred on the learner’s own environment to ease comprehension. • covering emerging and contemporary issues such as gender, corruption, the environment, HIV and AIDS among others.
ISBN: 9966494367
-
Adventure in Mombasa by Juma Bustani
Original price was: KSh311.00.KSh280.00Current price is: KSh280.00. -
Afanyaye Ubaya Hulipwa 3c by Oxford
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Afri label
Original price was: KSh77.00.KSh70.00Current price is: KSh70.00.Add to cartAfri Label Afri Self Adhesive Labels are available in various sizes and shapes. They are used as price labels, barcode labels, labelling of products, etc.
-
Ahaa! Roda by Nyambeka
Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartRoda ni msichana mdogo ambaye ana ndoto ya kufanikiwa maishani – ndoto ya kuwa jaji. Maisha katika kijiji cha Tupe si rahisi hata kidogo. Kwanza anatoweka asijulikane alipo. Pili mama yake anauawa kinyama na watu wasiojulikana. Baada ya mazishi ya mama yake, mjomba wake Bwana Kilemba anamchukua ili kumtunza. Mke wake Bibi Mnuna yuaonekana kutopendezwa na hatua hiyo. Anageuka kuwa katili kwake Roda. Je, Roda ataweza kuitimiza ndoto yake mikononi mwa Mnuna? Usisubiri kuambiwa uisome hadithi hii.
ISBN: 9789966075628
-
Ahsante ya Punda 6d by Walibora
Original price was: KSh350.00.KSh315.00Current price is: KSh315.00.Add to cartAhsante ya Punda 6d ni kitabu ktnacholenga wanafunzi wa Darasa to Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthlia na mbinu rejeshi.
- kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, kejeli, chuku, utani, wimbo, vichekesho, majina ya majazi na picha za rangi zenye kusisimua.
- Â kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na kijijiini na matatizo yoke, ujirani, mahakamani na mambo ya kisheria, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uaminifu, uadilifu, ushirikiano, haki za binadamu, kuishi kwa utangamano na amani.
Mradi wa Kusoma ni mfulutizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi a Kiswahiti Sanifu.
ISBN: 9780195734553
-
Ajali ya Keki na Hadithi Nyingine
Original price was: KSh533.33.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartMpango wa Leshan, Aida na marafiki zao unatumbukia nyongo baada ya ajali ya keki. Je, wa kulaumiwa ni nani? Wataendelea na mpango wao au watautupilia mbali? Unafikiri mbuzi kisirani anayeleta hasara anafaa kufanyiwa nini? Soma hadithi hizi ufahamu jinsi Aida na nduguye Leshan pamoja na marafiki zao wanavyokabiliana na changamoto mbalimbali huku wakijifunza umuhimu wa kushirikiana, Kuheshimiana na kudumisha upendo katika jamii.
Ajali ya keki na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zinazolenga kukuza maadiliya upendo pamoja na heshima miongoni mwa wasomaji.
-
Akiba ya Wema na Hadithi Nyingine by Timothy M. Arege
Original price was: KSh505.56.KSh455.00Current price is: KSh455.00.Add to cartDiwani ya Akiba ya Wema ni mkusanyo wa hadithi za waandishi kutoka Afrika Mashariki. Hadithi hizi zinazungumzia masuala kama vile ndoa, familia, elimu, ajira, wema na utendakazi. Hizi ni hadithi zinazoonyesha umahiri wa watunzi wake. Mkusanyo huu una hadithi zenye mvuto na vionjo anuwai kimuundo na kimtindo.
ISBN: 9789914729979
-
Akili ni Mali na Hadithi Nyingine 5b by Queenex
Original price was: KSh322.23.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartQueenex Hadithi za Ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
ISBN: 9789966141965
-
Akili pevu Kiswahili Angaza Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2 by Shabaan Otieno, Mziwanda Banda
Original price was: KSh631.00.KSh570.00Current price is: KSh570.00.Add to cartKiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu:
1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi;
2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana;
3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki;
4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha;
5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki.ISBN: 9789966562845
-
Aladdin level 3
Original price was: KSh233.00.KSh210.00Current price is: KSh210.00.Add to cartAladdin is a poor boy who lives with his mother What happens when he meets a magician and finds a magical lamp Based on the traditional Arabian folk tale Read it yourself with Ladybird is one of Ladybird s best selling reading series For over thirty five years it has helped young children who are learning to read develop and improve their reading skills Each Read it yourself ebook is very carefully written to include many key high frequency words that are vital for learning to read as well as a limited number of story words that are introduced and practised throughout Simple sentences and frequently repeated words help to build the confidence of beginner readers and the four different levels of stories support children all the way from very first reading practice through to independent fluent reading Children can also listen to the story being read by using the built in voiceover option to give them confidence to tackle it themselves Each ebook has been carefully checked by educational consultants and can be read independently at home or used in a guided reading session at school Further content includes comprehension puzzles helpful notes for parents carers and teachers and book band information for use in schools Aladdin is a Level Read it yourself ebook suitable for children who are developing reading confidence and stamina and are eager to start reading longer stories with a wider vocabulary
ISBN: 9780723280828
-
Alien attack 8s by Mwanzia
Original price was: KSh272.00.KSh245.00Current price is: KSh245.00. -
Alomo the Robin 3h by Frank Odoi
Original price was: KSh228.00.KSh205.00Current price is: KSh205.00. -
Alone at home by Moran
Original price was: KSh300.00.KSh270.00Current price is: KSh270.00.Add to cartNo one can see Sam. He steals and eats the grapes meant for his break snack. Will Mother say good boy and give him more grapes?
ISBN: 9789966346483
-
Alphabet Stencil 40mm
Original price was: KSh333.00.KSh300.00Current price is: KSh300.00. -
Amariga the Greedy Boy 2e by EAEP
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00. -
Amazing race by Story Moja by Muchemi
Original price was: KSh422.00.KSh380.00Current price is: KSh380.00.Add to cartKamau is set to run the race of his life. Will his Baba show up to see him win? Will uganga rays help him? Is his main competitor more determined to win than him? How far is his competitor prepared to go to win? Based on a real-life experience, The Amazing Race explores the sort of challenges faced by children that can build or break their character. As highlighted in the appendix of the story, there are no right or wrong answers when it comes to emotions. Exploring our feelings increases our emotional intelligence. The Points to ponder, in the appendix, promote independent thought by encouraging the reader to relate the learning in the story to their own life. Answering the questions will also sharpen the reader’s critical thinking skills. The story and the discussion points allow for enjoyable and stimulating reading and conversation. The Amazing Race is a must-read and must-shared story. – Juliet Maruru, writer, teacher
ISBN: 9789966001627
-
Amina na Jogoo wake 3c
Original price was: KSh244.00.KSh220.00Current price is: KSh220.00. -
Aminata by Imbuga
Original price was: KSh478.00.KSh430.00Current price is: KSh430.00.Add to cartAminata was first published in 1988 after a successful world premiere at the Kenya National Theatre in 1985. Aminata, a brilliant, diligent and benevolent young lawyer is an acclaimed village celebrity. Yet there are those who will see her only as a woman first and everything else afterwards. To assert her human dignity, she has to passionately resist anachronisms that have warped an otherwise fast changing society.
ISBN: 9966463836
-
Amri ya Wakati 2a by Mohamed
Original price was: KSh472.23.KSh425.00Current price is: KSh425.00.Add to cartMatonga hakubaliani na familia yake, marafiki zake na jamii nzima kuhusu nafasi wanayopewa vijana katika nchi yake.Kiu ya Matonga inamsukuma kuvunja kanuni za utu na desturi za kimila ili apate fursa ya kwenda nchi za ng’ambo anakodhani atapata riziki. Lakini, wakati tu ndio utakaoamua.
ISBN: 9780195735598
-
Anisa na Kunguru Mjumbe
Original price was: KSh533.33.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartBi Anisa anakwepa ukame unaoikumba kijiji chao huku akiongozwa na Kunguru. Je, Kunguru anampeleka wapi?
ISBN:9789966621979