Shop
Showing 673–696 of 2644 results
-
KAMUSI CHANGANUZI YA METHALI
Original price was: KSh1,150.00.KSh1,105.00Current price is: KSh1,105.00.Add to cartKamusi changanuzi ya methali ni chombo cha kipekee kinachokusaidia kuelewa na kutumia methali katika mazingira mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya vipengele muhimu vya kamusi hiyo: Maelezo ya Methali: Kila methali inakuja na maelezo yanayoelezea maana yake kwa kina. Maelezo haya yanaweza kujumuisha asili ya methali, matumizi yake katika mazungumzo ya kila siku, na mifano ya …
-
Kamusi kuu ya Kiswahili by Longhorn
Original price was: KSh1,933.00.KSh1,740.00Current price is: KSh1,740.00. -
Kamusi Teule ya Kiswahili by Ahmed E Ndalu, Hamisi Babausa, Suleiman A Mirika
Original price was: KSh1,444.00.KSh1,300.00Current price is: KSh1,300.00.Add to cartKAMUSI TEULE ya Kiswahili – Kilele cha Lugha
“Ni zao la utafiti wa kina uliofanywa na waandishi na wanaleksikogrofiawenye tajriba kubwa.
Kamusi hii imetungwa kwa utaalamu mkuu na kwa kuzingatia msomajilengwa.”
Kamusi hii ina;
Maneno ya jumla zaidi ya 320, 000Vidahizo na vibadala zaidi ya 35, 000Picha za kuvutia msomajiEtimolojia ya vidahizoNgeli za manenoWingi wa manenovidahizo vya taaluma mbalimbaliIstilahi za ushairiIstilahi za fasihi andishi
ISBN: 2010127000576
-
Kamusi ya Karne ya 21 by Longhorn
Original price was: KSh1,555.56.KSh1,400.00Current price is: KSh1,400.00.Add to cartKamusi ya Karne ya 21(Toleo la 4) ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.
ISBN: 9789987020973
-
Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI) 4th Edition by Oxford
Original price was: KSh1,316.00.KSh1,185.00Current price is: KSh1,185.00.Add to cartKamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana
• nahau na misemo iliyotolewa maana.ISBN: 9780195746167
-
Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI) 4th Edition by Oxford
Original price was: KSh1,316.00.KSh1,185.00Current price is: KSh1,185.00.Add to cartKamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana
• nahau na misemo iliyotolewa maana.ISBN: 9780195746167
-
Kamusi ya Methali za Kiswahili (EAEP)
Original price was: KSh888.00.KSh800.00Current price is: KSh800.00. -
Kamusi ya Misemo na Nahau Kamusi ya Misemo na Nahau
Original price was: KSh1,155.00.KSh1,040.00Current price is: KSh1,040.00. -
Kamusi ya Semi-Toleo Jipya by Ndalu, Kingei
Original price was: KSh888.00.KSh800.00Current price is: KSh800.00.Add to cartToleo Jipya Ia Kamusi ya Semi ndicho kitabu cha pekee kilichokusanya zaidi ya semi elfu nne. Kitabu hiki kinajumuisha semi, maana yake, pamoja na mifano faafu. Ufafanuzi wa msamiati umetiliwa maanani huku maana kadhaa za semi zikitolewa. Aidha, semi zilizomo humu kitabuni zimepangwa kialfabeti ili kurahisisha urejeleaji. Toleo hili Jipya Ia Kamusi ya Semi ni kitabu kinachowafaa wanafunzi na walimu wa kila daraja: shule za msingi, za upili na hata vyuo vikuu. Hii ni dafina kuu kwa wapenzi wote wa lugha na fasihi ya Kiswahili. Kitula King’ei ni mwalimu, mwandishi, mtafiti na msomi wa lugha na fasihi ya Kiswahili aliye na tajriba kubwa sana. Kwa sasa, ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Ahmed Ndalu amefundisha Kiswahili katika shule za upili na vyuoni, na vile vile kuandika vitabu kadhaa. Hivi sasa, amestaafu kazi ya ufundishaji na anajishughulisha na utafiti na uandishi wa vitabu vinavyoshughulikia nyanja tofauti tofauti za Kiswahili.
ISBN: 9966465405
-
Kamusi ya Shule za Msingi by Kiango
Original price was: KSh1,244.00.KSh1,120.00Current price is: KSh1,120.00.Add to cartKamusi ya Shule za Msingi
imetungwa kwa ustadi na wataana wataalamu wa Kiswahili imefanyiwa utafiti wa hali ya juu ina maneno yaliyoteuliwa na kukadiriwa inarahisisha utambuzi na matumizi ya ngeli za nomino ni kifaa bora kwa kila mwanafunzi wa shule a msingi
ISBN: 9780195733068
-
Kamusi ya Tashbihi, Vitendawili, Milio
Original price was: KSh927.00.KSh835.00Current price is: KSh835.00. -
Kamwe si Mbali tena
Original price was: KSh711.00.KSh640.00Current price is: KSh640.00.Add to cartTambo njoo unisaidie. Nimeshalishika lile jisamaki kubwa linaloogelea huru mawinguni bila ya kumeza ndoana … Leo limemeza ndoana … Njoo unisaidie kulivuta jisamaki hili … Je, sikukwambia, Tambo, kwamba kamwe si mbali tena?” Katika riwaya…
By Said A Mohamed -
Kanda ya Siri
Original price was: KSh722.00.KSh650.00Current price is: KSh650.00. -
Kangaro Staple Remover by Kangaro
Original price was: KSh111.00.KSh100.00Current price is: KSh100.00. -
KANGARO PAPER PUNCH DP 540
Original price was: KSh622.22.KSh560.00Current price is: KSh560.00. -
Kangaro paper punch DP-480
Original price was: KSh333.33.KSh300.00Current price is: KSh300.00. -
Kangaro stapler DS-45
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00. -
Kangaro Stapler DS-E335
Original price was: KSh300.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Kangaro Stapler Heavy Duty Kangaro HD 23S17
Original price was: KSh3,444.44.KSh3,100.00Current price is: KSh3,100.00. -
Kangaro Stapler ICON
Original price was: KSh277.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Kangaro stapler Mini-10
Original price was: KSh133.33.KSh120.00Current price is: KSh120.00.Add to cartKangaro is engaged in manufacturing a wide variety of products including Staplers, Paper Perforators, Staples, Staple Removers, Binder Punch, Numbering Machines etc. A broad range of Tackers and Heavy Duty Staples is also manufactured in house
-
Kangaro Staples 24/6 5000s
Original price was: KSh255.55.KSh230.00Current price is: KSh230.00. -
Kangaruu wa Samawati by Matundura
Original price was: KSh244.00.KSh220.00Current price is: KSh220.00. -
Karamu 5 by “Bracey, Lieta”
Original price was: KSh266.00.KSh240.00Current price is: KSh240.00.Add to cartHadithi Sisimka ni msururu wa hadithi za watoto zilizoandikwa kwa lugha nyeusi na msamiati uliodhibitiwa ili kuwafaa watoto
ISBN: 9966363750