Shop
Showing 721–744 of 2644 results
-
KIDS WATERPROOF APRON
Original price was: KSh555.55.KSh500.00Current price is: KSh500.00. -
Kielekezi cha Kiswahili Pupils Grade 5 by E. Andati, K. Chituyi, N. Musyimi na S. Washika
Original price was: KSh744.00.KSh640.00Current price is: KSh640.00.Add to cartKIELEKEZI CHA MARUDIO YA KISWAHILI GREDI YA 5 KIELEKEZI cha marudio ya Kiswahili Gredi ya 5 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa mfumo mpya wa elimu ya umilisi. Kitabu hiki:
– Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha (Kusikiliza na kuzungumza, Kusoma, kuandika na Sarufi).
– Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka.
– kimeshughulikia Masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira na teknolojia. – Kina Mazoezi muhimu ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio.
– Kina Zoezi la Tathmini mwishoni mwa kila sura.
– Kina karatasi sita za Majaribio ya mitihani.
– Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Aidha, wanaelewa mfumo wa umilisi kwa jumla.ISBN: 9789966012487
-
Kielekezi cha Shughuli za Kiswahili Gredi 3 Kitabu cha Mwanafunzi by Mentor
Original price was: KSh539.00.KSh485.00Current price is: KSh485.00.Add to cartKIELEKEZI cha Shughuli za Kiswahili Gredi 3 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaata mpya unaozingatia umilisi.
Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.
Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueteweka na mwanafunzi kwa urahisi.
ISBN: 9789966059802
-
Kifimbo cheza 4c by Ahmed
Original price was: KSh288.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00. -
Kigogo (Story Moja) by Story Moja
Original price was: KSh566.00.KSh510.00Current price is: KSh510.00.Add to cartTamthilia ya Kigogo inamulika baadhi ya masuala yanayoibuka katika nchi zinazoendelea za Bara la Afrika. Huku wakazi wa Sagamoyo wakijiandaa kuadhimisha siku ya uhuru utakaosherehekewa kwa mwezi mmoja na kujivunia `maendeleo makuu; Soko la Chapakazi, ambalo ndilo tegemeo la wengi jimboni, linafungwa ghafla. Je, viongozi wamelifunga kwa nia gani? Wakazi wa Sagamoyo wanaolitegemea kujipa riziki watafanya nini? Tamthilia hii inatoa picha halisi ya nchi inayojivunia miaka mingi ya uhuru. Je, uhuru huo unamfaidi nani?
ISBN: 9789966066633
-
Kijiji cha Haki by Storymoja
Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartBinti Kitabu anafunga safari ya kwenda Kijiji cha Maonevu kuakomboa wanakijiji dhidi ya maonevu ya Binti Maringo. Binti Maringo anatumia nguvu za kichawi kumtorosha
mumewe kutoka Kijiji cha Maonevu.ISBN:9789966622730
-
Kijiji cha Kisiwani
Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartMazimwi yanatoka baharini na kuwapapasa watoto hasa wa umri mdogo katika Kijiji cha Kisiwani. Watoto wanaugua na hatimaye wanatoweka. Mkazi wa kijiji jirani anawaonea huruma wakazi wa kisiwani. Soma na ufahamu jinsi wakazi walijikomboa kutoka janga la
mazimwi.ISBN:9789966622549
-
Kijiji cha Mibabadume
Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartViongozi wa Kijiji cha Mibabedume wanashikilia utamaduni unazowakandamiza wasichana
na wanawake. Binti Kitabu anatumia elimu ya kitabu kuwakomboa kimawazo. -
Kijiji cha Ukame
Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartWakazi wa Kijiji cha Ukame wanafyeka misitu na kujigawia mashamba. Muda si muda mvua inakosekana na wanakumbwa na athari za kiangazi. Hawana maji wala chakula. Mimea inanyaukia mashambani huku mifugo wakifa kwa kukosa lishe na maji. Je, watafuata ushauri wa Binti Kitabu kuhusu uhifadhi wa mazingira?
-
Kijiji cha Umoja
Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartMakabila ya Wavuvi na Wakulima yanawindana kama paka na panya,. Wakati wa uchanguzi, kila kabila linachagua mtu wao bila kujali sifa zake za uongozi.
Kiongozi mpya anapigania maslahi ya waliomchagua akipuuza kabila jingine. Uhasama unazuka miongoni mwa wanaobaguliwa .Athari za vita vya kikabila vinalemeza maendeleo ya eneo. soma kitabu hiki ufahamu jinsi binti kitabu anavyotumia maarifa kupatanisha makabila haya na kufufua maendeleo.
ISBN:9789966622594
-
Kijiji cha Ushindi
Original price was: KSh555.00.KSh500.00Current price is: KSh500.00.Add to cartBinti Kitabu ni mwanamke anayejitahidi kupigania haki za wanadamu na kuendeleza elimu ya vitabu. Anafanya hivyo kwa kuvikomboa vijiji mbalimbali dhidi ya maonevu na udhalimu wa viongozi waovu.
ISBN:9789966622747
-
Kiki afunga Bao 3b by Rukaria
Original price was: KSh224.00.KSh189.00Current price is: KSh189.00. -
Kiki and Kim by Queenex
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cart“This is a very simplified step to introduce money lessons to young children.It is designed to help children appreciate the value of money and embrace a saving culture.”
-
Kiki and the Piggy Bank by Queenex
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartIt is good to teach children about finances. They grow up with a responsible attitude about money. Later, they use their money wisely.
This book is designed to help children appreciate the value of money and embrace a saving culture. This is an interesting story about a small girt, Kiki. She saves money in her piggy bank. Later she opens a bank account.
-
Kiki goes Shopping by Nandwa
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00. -
King of all Fish 4g by E Kabaji
Original price was: KSh300.00.KSh270.00Current price is: KSh270.00. -
King of all Fish 4g by E Kabaji
Original price was: KSh300.00.KSh270.00Current price is: KSh270.00. -
King Saul and David
Original price was: KSh333.00.KSh300.00Current price is: KSh300.00.Add to cartKing Saul and David Author: Sarah Ambiyo ISBN: 978 9966 347 65 7 David becomes not only successful in war but the people of Israel come to love him more than they love King Saul. The king becomes jealous of David and plans to kill him.
-
King’s Ring Moran grade Level 5 by Emerson
Original price was: KSh455.00.KSh410.00Current price is: KSh410.00. -
kiparangoto
Original price was: KSh327.00.KSh295.00Current price is: KSh295.00. -
Kipengo 2b by Oxford
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Kipepeo apeperuka by Said
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartDunia haishi maajabu. Kuna mengi ya kuajabia. Katika ulimwengu wa wadudu, kuna baadhi yao wanaopitia hatua kadhaa za maisha yao kuanzia yal. Mageuzi hayo katika maumbile yao na maisha yao yana maana na umuhimu kwetu pia. Hebu tujifunze sote maumbile ya kipepeo. Hassan Said ana tajriba pana katika uchapishaji vitabu hasa kamusi na hadithi za watoto. Sasa amejitoma katika ulingo wa hadithi, kama mwandishi chipukizi, akipanua mawanda ya uhariri na uandishi.
ISBN: 9789966115157
-
kipepeo mrembo klb
Original price was: KSh144.00.KSh130.00Current price is: KSh130.00. -
KISA CHA KUKU NA MWEWE
Original price was: KSh230.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKuku na Mwewe walikuwa marafiki wakubwa.Kuku akamfanyia rafiki yake Mwewe ukatili uliosababisha watoto wake kufa.Soma hadithi ujue Kuku alifanya nini kwa Mwewe.