Shop
Showing 889–912 of 2644 results
-
Kuku and her Friends by Queenex
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKuku leaves her six chicks alone in the hut. She goes to buy food at the market.
The naughty chicks wander outside. Unfortunately, an enemy awaits them in the tree. How do they escape?
This is an interesting story that encourages readers to appreciate their neighbours and friends.
The story also warns readers to listen to advice.
ISBN: 9789966075703
-
Kuku and the Red Chicks by Queenex
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKuku and her chicks are playing in the field. Cat is hungry. He wants to eat Kuku and her chicks. Kuku must think of a plan to protect herself and her chicks.
Read the captivating story to find out how Kuku’s plan works.
This is an interesting story that encourages readers to think critically when confronted.
ISBN: 9789966075710
-
Kuku and the Red eggs by Queenex
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKuku has laid six eggs. She is afraid that animals might steal her eggs. Then she will not have six chicks. She comes up with a plan that scares away her enemies.
Read the captivating story to find out how Kuku’s clever plan.
This is an interesting story that encourages readers to think critically when confronted with a problem.
ISBN: 9789966075901
-
Kuku and the Red shoes by Queenex
Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKuku and her chicks are playing in the field. Cat and Dog are hungry. They want to eat Kuku and her chicks. Kuku must think of a plan to protect herself and her chicks.
Read the captivating story to find out how Kuku’s plan works.
This is an interesting story that encourages readers to think critically when confronted with a problem.
ISBN: 9789966075918
-
Kuku na Mayai by Nyakeri
Original price was: KSh261.12.KSh235.00Current price is: KSh235.00. -
KUNGURU NA PANZI BY EAEP
Original price was: KSh327.78.KSh295.00Current price is: KSh295.00. -
Kurunzi ya Insha gredi ya 4 na 5 by Francis Wangome
Original price was: KSh800.00.KSh720.00Current price is: KSh720.00. -
Kurunzi ya kiswahili Grade 1
Original price was: KSh638.88.KSh575.00Current price is: KSh575.00.Add to cartToleo hili Jipya la Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 1 limeandaliwa kwa upekee zaidi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu na kujifunza stadi nne za mtaala mpya wa Kiswahili, zikiwemo: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi. Kitabu hiki kimejumuisha vipengele vipya vya kuandika na kusoma ambavyo havikuwepo awali. Mbali na kuzingatia mtaala mpya …
-
Kurunzi ya Kiswahili Grade 5 Mwanafunzi (Approved) by A. Matei, J. Mwamburi, F. Wangome, F. Atulo
Original price was: KSh639.00.KSh575.00Current price is: KSh575.00.Add to cartKurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 5 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtalaa huu unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji.
Kitabu hiki
• Kimeshughulikia mada kwa njia inayomwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
• Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali. Mada hizi zinalenga kuimarisha umilisi wa kusikiliza kwa makini, kuzungumza kwa ujasiri, kusoma kwa ufasaha na kuandika vyema.
• Kuna mazoezi na mijarabu kama vile shughuli kwa mwanafunzi, shughuli ya vikundi, kazimradi, shughuli ya nyumbani na michezo ili kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi kwenye stadi mbalimbali za lugha.
• Picha halisi na michoro ya kuvutia inamsaidia mwanafunzi katika uelewa wa mada.
• Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.
• Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi ya uwekezaji, shughuli nje ya darasa, kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
• Masuala mtambuko na kuhusisha maadili kujenga mada tofauti imeshughulikiwa.
•Kitabu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.ISBN: 9789966572455
-
Kurunzi ya Kiswahili Grade 7 by Spotlight
Original price was: KSh822.00.KSh740.00Current price is: KSh740.00.Add to cartKurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtaala mpya unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji.
ISBN: 9789966573360
-
Kurunzi ya Kiswahili workbook Grade 1
Original price was: KSh355.55.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartKurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya kwanza ni kitabu kilichoandaliwa kwa ustadi ili 4 kurahisisha uelewa wa mwanafunzi katika Gredi ya Kwanza kwenye mfumo huu wa umilisi. Sifa za kitabu hiki Kimeandikwa kwa wepesi wa maswali ili kumsaidia mwanafunzi kufanya mazoezi zaidi yanayofuata muundo wa umilisi. Kinofuata kikamilifu mfumo mpya wa umilisi. Kimefanyiwa utafiti …
-
Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili GD2
Original price was: KSh361.11.KSh325.00Current price is: KSh325.00. -
Kurwa Na Doto [Approved]
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Kusema Ukweli [Approved]
Original price was: KSh161.00.KSh145.00Current price is: KSh145.00. -
Kuti Makes a Difference [Approved]
Original price was: KSh189.00.KSh170.00Current price is: KSh170.00. -
Kwa nini Chenene huimba Usiku
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartSIMULIZI ZA KUFURAHISHA ZINAZOFUNDISHA MAISHA. Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachofundisha umuhimu wa utii. Mama Senene anaenda kuwatafutia watoto wake chakula. Je, watoto wake watamsubiri kurudi jioni kama anavyowaagiza? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu.
-
Kwa nini Fisi Huchechemea by Olasya
Original price was: KSh327.00.KSh295.00Current price is: KSh295.00.Add to cartVitabu vya sayari vimenuiwa kuwaongezea wanafunzi maarifa ya kusoma na kuielewa lugha ya Kiswahili, huku vikiwafanya wajimudu katika kuizungumza lugha hii. Vimekusudiwa kusomwa na wanafunzi wa darasa Ia Sita, Saba na la Nane, katika shule za msingi za Afrika Mashariki. Kwa kuwa hawa ni wanafunzi waliokomaa, lugha katika mfululizo wa vitabu hivi imepevushwa ili kuwatayarisha katika mitihani. Kwa Nini Fisi Huchechemea ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kuburudisha na zenye mafunzo ya busara. Zitawafaidi wanafunzi wote watakaozisoma.
ISBN: 9966464255
-
Kwa nini Fisi Hucheka
Original price was: KSh355.56.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartVitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa. Watoto watajifunza haya yote. Kwa nini fisi Hucheka ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kusisimua zilizonuiwa kusomwa na watoto wa darasa la tatu, la nne na …
-
Kwa nini Sungura ana Mkia mfupi?
Original price was: KSh389.00.KSh350.00Current price is: KSh350.00.Add to cartSungura anaiba maboga ya mkulima na mkewe. Je, atafanikiwa kutoroka na kufurahia kitendo chake? Soma hadithi hii ili ujue yaliyomfika sungura. Author: Philiphine Koima
-
Laana ya Mkufu by Queenex
Original price was: KSh355.56.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartMfalme Monamwezi hana muda mrefu wa kuishi. Anamrithisha ufalme mwanawe Kisangasanga. Mwanzoni, Kisangasanga anauendesha ufalme wa Watambele vyema hadi anapoenda kinyume cha maagizo ya baba yake. Ufalme unaanza kuporomoka. Mfalme Kisangasanga si mfalme wa wanadamu tena bali wa wanyama pangoni. Je, ataweza kurejea tena na kuendelea na uongozi? Laana ya Mkufu ni hadithi yenye ujumbe …
-
Ladybird -Adventure on the Island 10a with Peter and Jane
Original price was: KSh277.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartUses the most frequently met words in the English language as a starting point for learning to read successfully and confidently This book follows Peter and Jane s adventure on an island in words including brought breakfast lightning and safe
ISBN: 9781409301356
-
Ladybird 11A with Peter and Jane
Original price was: KSh277.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartUses the most frequently met words in the English language as a starting point for learning to read successfully and confidently This book follows Peter and Jane as they discover a missing boy on an island and introduces words
ISBN: 9781409301370
-
Ladybird 11B WITH Peter and Jane
Original price was: KSh277.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartUses the most frequently met words in the English language as a starting point for learning to read successfully and confidently This book introduces words including carnival myself glass and above
ISBN: 9781409301387
-
Ladybird 11C with Peter and Jane
Original price was: KSh277.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartUses the most frequently met words in the English language as a starting point for learning to read successfully and confidently This book provides the link with writing for the words used in readers a and b
ISBN: 9781409301394