Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Shop

Showing 889–912 of 2674 results

  • Koko Riko Count your Blessings

    Original price was: KSh500.00.Current price is: KSh450.00.

    Kokoriko Series- Fun Stories for children

    This story is for children aged 3-6 years (Pre Primary 1 & 2). It is an exciting story with funny characters that will keep you turning the pages and reading the book over and over again. Never let the things you want make you forget the things you have

    Author:
    Muthoni Muchemi

    Add to cart
  • Koko Riko Who Woke Me?

    Original price was: KSh466.00.Current price is: KSh420.00.

    Kokoriko Series- Fun Stories for children.

    It is an exciting story with funny characters that will keep you turning the pages and reading the book over and over again.

    Author:
    Muthoni Muchemi

    Add to cart
  • Kombo arudi Shule 3g by EAEP

    Original price was: KSh222.00.Current price is: KSh200.00.
  • Kufa Kuzikana [Kimeidhinishwa na KICD]

    Original price was: KSh766.00.Current price is: KSh690.00.
  • Kuku and her Friends by Queenex

    Original price was: KSh211.00.Current price is: KSh190.00.

    Kuku leaves her six chicks alone in the hut. She goes to buy food at the market.

    The naughty chicks wander outside. Unfortunately, an enemy awaits them in the tree. How do they escape?

    This is an interesting story that encourages readers to appreciate their neighbours and friends.

    The story also warns readers to listen to advice.

    ISBN: 9789966075703

    Add to cart
  • Kuku and the Red Chicks by Queenex

    Original price was: KSh211.00.Current price is: KSh190.00.

    Kuku and her chicks are playing in the field. Cat is hungry. He wants to eat Kuku and her chicks. Kuku must think of a plan to protect herself and her chicks.

    Read the captivating story to find out how Kuku’s plan works.

    This is an interesting story that encourages readers to think critically when confronted.

    ISBN: 9789966075710

    Add to cart
  • Kuku and the Red eggs by Queenex

    Original price was: KSh211.00.Current price is: KSh190.00.

    Kuku has laid six eggs. She is afraid that animals might steal her eggs. Then she will not have six chicks. She comes up with a plan that scares away her enemies.

    Read the captivating story to find out how Kuku’s clever plan.

    This is an interesting story that encourages readers to think critically when confronted with a problem.

     

    ISBN: 9789966075901

    Add to cart
  • Kuku and the Red shoes by Queenex

    Original price was: KSh211.00.Current price is: KSh190.00.

    Kuku and her chicks are playing in the field. Cat and Dog are hungry. They want to eat Kuku and her chicks. Kuku must think of a plan to protect herself and her chicks.

    Read the captivating story to find out how Kuku’s plan works.

    This is an interesting story that encourages readers to think critically when confronted with a problem.

    ISBN: 9789966075918

    Add to cart
  • Kuku na Mayai by Nyakeri

    Original price was: KSh261.12.Current price is: KSh235.00.
  • KUNGURU NA PANZI BY EAEP

    Original price was: KSh327.78.Current price is: KSh295.00.
  • Kurunzi ya Insha gredi ya 4 na 5 by Francis Wangome

    Original price was: KSh800.00.Current price is: KSh720.00.

    Kurunzi ya Insha Darasa la 4 na 5

    ISBN: 9789966002679

    Add to cart
  • Kurunzi ya kiswahili Grade 1

    Original price was: KSh638.88.Current price is: KSh575.00.

    Toleo hili Jipya la Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 1 limeandaliwa kwa upekee zaidi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu na kujifunza stadi nne za mtaala mpya wa Kiswahili, zikiwemo: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi. Kitabu hiki kimejumuisha vipengele vipya vya kuandika na kusoma ambavyo havikuwepo awali. Mbali na kuzingatia mtaala mpya …

    Kurunzi ya kiswahili Grade 1Read More

    Add to cart
  • Kurunzi ya Kiswahili Grade 5 Mwanafunzi (Approved) by A. Matei, J. Mwamburi, F. Wangome, F. Atulo

    Original price was: KSh639.00.Current price is: KSh575.00.

    Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 5 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtalaa huu unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji.
    Kitabu hiki
    • Kimeshughulikia mada kwa njia inayomwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
    • Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali. Mada hizi zinalenga kuimarisha umilisi wa kusikiliza kwa makini, kuzungumza kwa ujasiri, kusoma kwa ufasaha na kuandika vyema.
    • Kuna mazoezi na mijarabu kama vile shughuli kwa mwanafunzi, shughuli ya vikundi, kazimradi, shughuli ya nyumbani na michezo ili kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi kwenye stadi mbalimbali za lugha.
    • Picha halisi na michoro ya kuvutia inamsaidia mwanafunzi katika uelewa wa mada.
    • Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.
    • Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi ya uwekezaji, shughuli nje ya darasa, kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
    • Masuala mtambuko na kuhusisha maadili kujenga mada tofauti imeshughulikiwa.
    •Kitabu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.

    ISBN: 9789966572455

    Add to cart
  • Kurunzi ya Kiswahili Grade 7 by Spotlight

    Original price was: KSh822.00.Current price is: KSh740.00.

    Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtaala mpya unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji.

    ISBN: 9789966573360

    Add to cart
  • Kurunzi ya Kiswahili workbook Grade 1

    Original price was: KSh355.55.Current price is: KSh320.00.

    Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya kwanza ni kitabu kilichoandaliwa kwa ustadi ili 4 kurahisisha uelewa wa mwanafunzi katika Gredi ya Kwanza kwenye mfumo huu wa umilisi. Sifa za kitabu hiki Kimeandikwa kwa wepesi wa maswali ili kumsaidia mwanafunzi kufanya mazoezi zaidi yanayofuata muundo wa umilisi. Kinofuata kikamilifu mfumo mpya wa umilisi. Kimefanyiwa utafiti …

    Kurunzi ya Kiswahili workbook Grade 1Read More

    Add to cart
  • Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili GD2

    Original price was: KSh361.11.Current price is: KSh325.00.
  • Kurwa Na Doto [Approved]

    Original price was: KSh278.00.Current price is: KSh250.00.
  • Kusema Ukweli [Approved]

    Original price was: KSh161.00.Current price is: KSh145.00.
  • Kuti Makes a Difference [Approved]

    Original price was: KSh189.00.Current price is: KSh170.00.
  • Kwa nini Chenene huimba Usiku

    Original price was: KSh500.00.Current price is: KSh450.00.

    SIMULIZI ZA KUFURAHISHA ZINAZOFUNDISHA MAISHA. Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachofundisha umuhimu wa utii. Mama Senene anaenda kuwatafutia watoto wake chakula. Je, watoto wake watamsubiri kurudi jioni kama anavyowaagiza? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu.

    Add to cart
  • Kwa nini Fisi Huchechemea by Olasya

    Original price was: KSh327.00.Current price is: KSh295.00.

    Vitabu vya sayari vimenuiwa kuwaongezea wanafunzi maarifa ya kusoma na kuielewa lugha ya Kiswahili, huku vikiwafanya wajimudu katika kuizungumza lugha hii. Vimekusudiwa kusomwa na wanafunzi wa darasa Ia Sita, Saba na la Nane, katika shule za msingi za Afrika Mashariki. Kwa kuwa hawa ni wanafunzi waliokomaa, lugha katika mfululizo wa vitabu hivi imepevushwa ili kuwatayarisha katika mitihani. Kwa Nini Fisi Huchechemea ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kuburudisha na zenye mafunzo ya busara. Zitawafaidi wanafunzi wote watakaozisoma.

    ISBN: 9966464255

    Add to cart
  • Kwa nini Fisi Hucheka

    Original price was: KSh355.56.Current price is: KSh320.00.

    Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa. Watoto watajifunza haya yote. Kwa nini fisi Hucheka ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kusisimua zilizonuiwa kusomwa na watoto wa darasa la tatu, la nne na …

    Kwa nini Fisi HuchekaRead More

    Add to cart
  • Kwa nini Sungura ana Mkia mfupi?

    Original price was: KSh389.00.Current price is: KSh350.00.

    Sungura anaiba maboga ya mkulima na mkewe. Je, atafanikiwa kutoroka na kufurahia kitendo chake? Soma hadithi hii ili ujue yaliyomfika sungura. Author: Philiphine Koima

    Add to cart
  • Laana ya Mkufu by Queenex

    Original price was: KSh355.56.Current price is: KSh320.00.

    Mfalme Monamwezi hana muda mrefu wa kuishi. Anamrithisha ufalme mwanawe Kisangasanga. Mwanzoni, Kisangasanga anauendesha ufalme wa Watambele vyema hadi anapoenda kinyume cha maagizo ya baba yake. Ufalme unaanza kuporomoka. Mfalme Kisangasanga si mfalme wa wanadamu tena bali wa wanyama pangoni. Je, ataweza kurejea tena na kuendelea na uongozi? Laana ya Mkufu ni hadithi yenye ujumbe …

    Laana ya Mkufu by QueenexRead More

    Add to cart

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us