Shop
Showing 1129–1152 of 2644 results
-
Mabandia (Oxford) by Ali Attas
Original price was: KSh438.34.KSh435.00Current price is: KSh435.00.Add to cartMabandia ni tamthilia inayopiga kurunzi ubandia unaojificha na kujifichua kwa sura_ mbalimbali maishani. Maisha ni kama karata. Wahusika sita wanajitokeza katika maonyesho sita wakifululiza hadi barazani kucheza duru sita za mchezo maarufu wa Wahedi wa Sitini. Mchezo huu huchezwa hasa katika maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki. Kupitia vitendawili vinavyoibuka katika maonyesho mbalimbali, mwandishi anagubika …
-
Macheo by Zuhura Asman
Original price was: KSh272.23.KSh245.00Current price is: KSh245.00.Add to cartNilijinyanyua polepole kutoka sakafuni huku nikilia kwa kwikwi. Nilijipangusa kwa utaratibu.Kaptura yangu isingetakata kwani ilikuwa ya rangi iliyong’aa kama mbalamwezi.Nilipopita kwenda kuketi,nilimwona Safari akiniangalia kwenye makalio.Aliangua kicheko cha kuogofya kilicholitetemesha darasa zima.Wanafunzi nao wakaanza kucheka. Kaptura yangu ilijaa vumbi kwelikweli .Nilisonya tu na kujipweteka kitini huku nikikiangalia kitabu changu cha Hisabati ISBN: 2010143000770
-
Machi in Big Trouble 3g by Oxford
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00. -
Madalala abadilika by Rebecca Nandwa
Original price was: KSh211.12.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartAwali, mvulana Madalala hakujali usafi wa mwili. Shuleni,Wanafunzi wenzake walimbagua na kukataa kucheza naye . Siku moja alikuwa mgonjwa. Alipopelekwa hospitalini, daktari aligundua kwamba maradhi yake yalitokana na uchafu. Alimshauri kuhusu umuhimu wa usafi. Soma zaidi kufahamu jinsi kinga ni bora kuliko tiba. ISBN: 9789966788184
-
Madam King by Elsa Geylan
Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartMaza kingdom has very strict traditions, among them that a king can only be inherited by a son. When King Gustav dies, the son who would have inherited the kingdom, Frederick, is away studying in America. Only his sister Clavidia is home, but she cannot take the reins of power. This would mean that an evil cousin, Japheth, would be given the opportunity. Clavidia knows it will be disastrous for Maza with Japheth as king. What can she do? Read for yourself and find out!
ISBN: 9789966075659
-
Made Familiar CBC Mathematical Activitiees Workbook Pre Primary 1
Original price was: KSh777.77.KSh700.00Current price is: KSh700.00.Add to cartCBC Made Familiar Mathematical Activities empowers young learners to dive into the exciting world of problem-solving. These carefully designed activities not only build a solid foundation for logical thinking and problem-solving but also foster accuracy and critical thinking. Plus, they nurture essential skills in classification, numbers, and measurement, ensuring your child’s holistic development. The hands-on …
Made Familiar CBC Mathematical Activitiees Workbook Pre Primary 1Read More
-
Made Familiar: A Gift to Grandfather Level 3 by ZAWADI
Original price was: KSh305.56.KSh275.00Current price is: KSh275.00.Add to cartMaya and her brother Kirui visit their grandfather. They find him using a stick cut from a tree branch to support himself. Maya thinks that the stick is too weak but Kirui and grandfather believe that the stick is just okay. Maya is not satisfied. She thinks her grandfather deserves a brand-new crutch. How will she raise the money to buy one?
ISBN: 9789914988840
-
Made Familiar: A Trip to Hazina park Level 2 by WANYONYI
Original price was: KSh277.78.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartFather wants to take Niva and Nani to the park. Niva wakes up late. Nani has dark patches on his head. What will happen to their Trip?
ISBN: 9789914988789
-
Made Familiar: A Trip to Hazina park Level 2 by WANYONYI
Original price was: KSh277.78.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartFather wants to take Niva and Nani to the park. Niva wakes up late. Nani has dark patches on his head. What will happen to their Trip?
ISBN: 9789914988789
-
Made Familiar: Balozi in trouble again Level 4 by IHAJI
Original price was: KSh333.00.KSh300.00Current price is: KSh300.00.Add to cart
Balozi always want to impress his friends. This puts him in trouble every time. He uses his creativity and imagination skills to get out of trouble and to prove himself to his peers. Read these three captivating short stories to find out how he tackles the different challenges he encounters.
ISBN: 9789966191311
-
Made Familiar: Dereva wa Gari Jekundu level 1
Original price was: KSh250.00.KSh225.00Current price is: KSh225.00.Add to cartToma na Bella wanataka kwenda_ shuleni. Wanaona gari jekundu karibu na nyumbani kwao.
Dereva wa gari hilo anajitolea kuwapeleka shuleni. Je, dereva ana nia gani? Je, Toma na Bella watakubali awapeleke shuleni?
ISBN: 9789966191380
-
Made Familiar: Grandma is Sick Level 3
Original price was: KSh305.55.KSh275.00Current price is: KSh275.00.Add to cartMusembei and Anna visit their grandmother in the village. They find her sick. She complains of constant stomach pain. Their uncle also
complains of stomach pain. Their home is clean. They also maintain high level of personal hygiene. What could be the cause of the
constant stomach pains? Musembei and Anna want to find out.ISBN: 9789914988765
-
Made Familiar: Imani’s adventure in the Village Level 3 by KIRITU
Original price was: KSh305.00.KSh275.00Current price is: KSh275.00.Add to cartImani likes exploring his environment. He wonders where the food they eat in the city comes from. He visits the village for the first time to find out for himself. Join Imani in his adventure!
ISBN: 9789914988833
-
Made Familiar: Maria taabani by MWANGI
Original price was: KSh277.78.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartMaria ana mazoea ya kulala hadi Mama amwamshe. Maria pia husahau kufanya kazi zake za shule hadi Mama amkumbushe. Mama anaenda safari ya mbali. Chacha ambaye ni kakake Maria anataka kumfunza Maria adabu kwa kukosa kumtii. Je, Maria atafanya nini ili asijipate taabani? ISBN: 9789914988819
-
Made Familiar: Miembe ya Ajabu Level 3 by ZAWADI
Original price was: KSh305.56.KSh275.00Current price is: KSh275.00.Add to cartToma ananunua miche ya miembe. Bela hapendi miembe hiyo lakini Toma anaipanda. Toma anatunza miembe yake vizuri lakini miembe haikui. Mama na Baba wanasema miembe hiyo si ya kawaida. Je, ni miembe ya aina gani? ISBN: ZAWADI
-
Made Familiar: The Trouble of the Zebras Level 7 by Made Familiar
Original price was: KSh416.00.KSh375.00Current price is: KSh375.00.Add to cartWhile life seems to go on as usual, the greatest disaster that the world has ever known is looming. It is a catastrophe that will drastically change the lives of every living creature on earth. Don, a young zebra, | has a vision of the disaster. He has to share it with the rest of the zebras in the herd if they are to be saved. Is he willing to share the message in the vision? Are the other zebras ready to listen and believe? What price will they have to pay if they ignore him?
This CBC Learner Support Material enhances the learning of responsibility over Animals, Fish, and Birds; use and Misuse of Natural Resources as God’s Creation as covered under Creation in Religious Activities. It is also a handy learning tool that enhances deeper understanding of the theme Weather covered in Social studies.
ISBN: 9789914997491
-
Majasusi chipukizi 3a
Original price was: KSh350.00.KSh315.00Current price is: KSh315.00.Add to cartMalaika na Baraka wamezoea kumwona ombaomba mbele ya duka la Bwana Pembe kila wanapopita hapo. Wenyeji hawajui jina halisi
la ombaomba huyo kwa hivyo wamembandika jina ‘Masumbuko’. Asubuhi moja, Malaika na Baraka wanamwona Masumbuko akiwa amejiku
nyata kama kuku aliyenyeshewa. Wanapomdadisi, anawaambia kuwa alivamiwa na chokora. Wanamshawishi baba yao, ambaye ni daktari,
amsaidie Masumbuko apate matibabu ya bure. Masumbuko anasitasita anapoambiwa wazo hilo la kutibiwa. Je, kulikoni? Hali hii
inawachochea Malaika na Baraka kufanya uchunguzi ili kufumbua asili yake Masumbuko. Je, watafaulu?ISBN: 9789966347978
-
Making the team
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartWhen her parents separate and her mother has an accident, Sixteen year old Jessica has to become the family’s provider. She juggles odd jobs and her passion for football, hoping that her talent as a football player will earn her a scholarship that will enable her to go back to school. But when her dream is finally within her reach, she finds herself entangled in a scandal and realizes that she may miss an incredible opportunity just because she is a girl.
-
Makovu ya Uhai
Original price was: KSh355.56.KSh320.00Current price is: KSh320.00. -
Makumba katika Siri ya Mwembe
Original price was: KSh355.56.KSh320.00Current price is: KSh320.00. -
Makumba na Selidamu Nyeupe
Original price was: KSh355.56.KSh320.00Current price is: KSh320.00. -
Mali ya Maskini
Original price was: KSh711.00.KSh640.00Current price is: KSh640.00. -
Malipo ya Ukaidi
Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartHadithi za Kusisimua Zinazofundisha Stadi za Maisha
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuwa watiifu kila wakati kwa
sababu uchaguzi una matokeo
Kilo na Meme wanapenda kuogelea. Mama anapoondoka kwenda sokoni, wanaamua kwenda mtoni bila ruhusa yake. Je, watakumbana na nini mtoni?
-
Malit at the Hospital by Story Moja by Maina
Original price was: KSh466.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartOn a normal weekday, the hardworking Malit is expected to be up early in the morning ready for school. Today, however, is different as he has not woken up. His younger sister senses that there must be something wrong with him and calls the attention of their parents who rush him to hospital.
The experience at the hospital, however, does not leave an entirely sweet taste in their mouths. Even so, they are determined not to let other people go through similar experiences at the hospital. Will their efforts bear fruit? Read what happens.
ISBN: 9789966066381