Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Shop

Showing 1153–1176 of 2674 results

  • Makovu ya Uhai

    Original price was: KSh355.56.Current price is: KSh320.00.
  • Makumba katika Siri ya Mwembe

    Original price was: KSh355.56.Current price is: KSh320.00.
  • Makumba na Selidamu Nyeupe

    Original price was: KSh355.56.Current price is: KSh320.00.
  • Mali ya Maskini

    Original price was: KSh711.00.Current price is: KSh640.00.
  • Malipo ya Ukaidi

    Original price was: KSh466.00.Current price is: KSh420.00.

    Hadithi za Kusisimua Zinazofundisha Stadi za Maisha

    Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza jinsi ya kuwa watiifu kila wakati kwa

    sababu uchaguzi una matokeo

    Kilo na Meme wanapenda kuogelea. Mama anapoondoka kwenda sokoni, wanaamua kwenda mtoni bila ruhusa yake. Je, watakumbana na nini mtoni?

    Author:
    Charles Isadiah
    Add to cart
  • Malit at the Hospital by Story Moja by Maina

    Original price was: KSh466.00.Current price is: KSh450.00.

    On a normal weekday, the hardworking Malit is expected to be up early in the morning ready for school. Today, however, is different as he has not woken up. His younger sister senses that there must be something wrong with him and calls the attention of their parents who rush him to hospital.

    The experience at the hospital, however, does not leave an entirely sweet taste in their mouths. Even so, they are determined not to let other people go through similar experiences at the hospital. Will their efforts bear fruit? Read what happens.

    ISBN: 9789966066381

    Add to cart
  • Mama Cooks Good Food

    Original price was: KSh422.00.Current price is: KSh380.00.

    This story is for children aged 3-6 years (Pre Primary 1 & 2). It is a book that helps children learn and practice key words about food. Great for mothers to read with their children

    Author:
    Festus Korir

    ISBN: 9789966620415

    Add to cart
  • Mama is a Mechanic by Story Moja

    Original price was: KSh444.44.Current price is: KSh400.00.

    The job that is right for you is the one that makes best use of your unique talents and skills. All jobs help Kenya develop. All jobs are important. Every job matters. ISBN: 9789966621306

    Add to cart
  • Mama is sweet

    Original price was: KSh289.00.Current price is: KSh260.00.
  • Mama Mwizi by Moran

    Original price was: KSh244.00.Current price is: KSh235.00.

    Juma na Maria wanabaki nyumbani baada ya wazazi wao kwenda sherehe. Wanaondoka kwenda kununua peremende. Barabarani walimwona mama mjamzito akisukumwa nje kutoka garini ndogo, Juma na Maria wanaamua kumsaidia. Baadaye,Juma na Maria wanashangaa wanapogundua kuwa mama huyo…..

    ISBN : 9789966347770

    Add to cart
  • Man in Green Dungarees by Mbugua

    Original price was: KSh483.00.Current price is: KSh435.00.

    John Benjamin said gruffly, grabbing the lifeline that the man had offered him. “I have a business idea that might interest you.” The man’s curiosity was at once aroused.“You have three minutes,” he said authoritatively.John Benjamin is a man on a fast lane to self-destruction. His life takes an about-turn when he befriends and takes home a stray dog. The Man in Green Dungarees is a story of resilience, alcoholism and how society defines success. John Benjamin sees opportunities for success where others would have looked away.

    ISBN: 9780195738148

    Add to cart
  • Maneno ya Mwanzo by Abdul m Gugu

    Original price was: KSh277.78.Current price is: KSh250.00.

    Maneno ya Mwanzo ni kitabu kinachonuiwa kujenga msingi thabiti wa kusoma. Kitabu hiki kimekusudiwa wanafunzi waliomaliza shule za chekechea na kuanza masomo yao katika shule za msingi. Kitabu hiki kinafaa kutumiwa na wanafunzi wa darasa la kwanza. ISBN: 9781957331348

    Add to cart
  • Manga Goes To School 1C

    Original price was: KSh278.00.Current price is: KSh250.00.

    Manga wants to go to school. Read about his first day in school ….

    ISBN: 9780195729009

    Add to cart
  • Maonyesho ya Kufana 2c

    Original price was: KSh210.00.Current price is: KSh190.00.
  • Mapambazuko ya Machweo na Hadithi – Set Book

    Original price was: KSh544.00.Current price is: KSh490.00.
  • Mapambazuko ya Machweo na Hadithi – Set Book

    Original price was: KSh544.00.Current price is: KSh490.00.

    Mapambazuko ya Machweo na Hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi wa kipekee kwani umewashirikisha waandishi wenye tajriba pevu katika fani ya uandishi na kuwapa nafasi waandishi wachanga katika tasnia ya uandishi wa kifasihi. Waandishi waliochangia katika mkusanyiko huu wameonyesha ubunifu mkubwa kwa kusawiri uhalisia wa maisha katika mazingira yao tofauti.

    Suala la uhalisia wa maisha na mwingiliano wake na fasihi haliwezi kupuuzwa kwani fasihi ni kioo cha jamii.

    Mkusanyiko huu una hadithi zenye maudhui mbalimbali na zinazosheheni migogoro itakayowafikirisha wasomoji. Hali kadhalika, huu ni mkusanyiko wa kwanza wa hadithi fupi kuwahi kuchapishwa ulio na idadi karibu sawa ya waandishi wa kike na wa kiume.

    ISBN:9789914987195

    Add to cart
  • Mariamu Goes to School 1d by Waithaka Waihenya

    Original price was: KSh211.00.Current price is: KSh190.00.

    Stories in the Sunrise Reading Scheme 10. Goodbye Chichi – Irene Wanjiru 16.
    Bobo the Rat – Frank Odol 1c. Little Bodo – Frank Odal 1 d. Mariamu Goes to School –
    Waithaka Waihenya 1e Why Hyena has Spots – Douglas Kivoi 1t. A Ride to the Park –
    Ezekiel Alembi 19. Mariamu Goes Shopping – Waithaka Woihenya 1h. Trip to the Village –
    Mary Mwangangi 11. Rahab’s Birthday Party – Ezekiel Alembi

    ISBN: 9789966255037

    Add to cart
  • Mashairi Bulbul 7c ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: mashairi yaliyobeba maudhui anuwai. ubunifu wa mtunzi kutupambia mashairi kwa methali, mafumbo, masimulizi, tashihisi, takriri, tashbihi na taswira ili kutufunza na kupitisha ujumbe wake. …

    Mashairi Bulbul 7c by Ahmed hussein AhmedRead More

    Add to cart
  • Mashairi ya Wanyama 5e by Ali hassan Kauleni, Elvera Shabiha

    Original price was: KSh327.78.Current price is: KSh295.00.

    Sina chembe ya uzuri, mbali na mimi kaeni … ni mojawapo ya sifa anazojipatia mnyama huyu ambaye ni mmoja wa wanyama wanaozungumza kwenye kitabu hiki. Je, wanyama hawa wanasema nini kuhusu sifa zao? Je, wanaamini kuwa wana umuhimu gani kwa binadamu? Je, wanyama hawa wana malalamishi yapi kuhusu jinsi binadamu wanavyowachukulia?Kitabu hiki chenye mashairi ya …

    Mashairi ya Wanyama 5e by Ali hassan Kauleni, Elvera ShabihaRead More

    Add to cart
  • Maskini Bibi Yangu! 6B by Said A.Mohamed

    Original price was: KSh350.00.Current price is: KSh315.00.

    Maskini Bibi Yangu! 6b ni kitabu kinacholenga wanufunzi wa darasa la Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao kusoma.Miongoni mwa sifu za kipekee za kitabu hiki ni:masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na usimulizi wa nafsi ya kwanza umoja.kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tanukali za sauti, vichekesho, utani, takriri, taswira nu picha za rangi zenye kusisimua.kuwapitisha na kuwalea wunufunzi katika muzingira ya kuwaheshimu watu wazima wenye uhusiano nao au wasiowahusu, maisha ya nyumbani, mazoezi, michezo na mashindano, kilimo, afya na hudumu ya kwanza, teknolojia ya mawasiliano, uwajibikaji, utu. uvumilivu na mandhari ya mijini na vijijini.

    ISBN: 9780195733792

    Add to cart
  • Maskini Popo

    Original price was: KSh244.00.Current price is: KSh235.00.

    Popo ana njaa sana. Anataka chakula. Anatafuta chakula kila mahali.Anaenda karibu na ndege lakini wanamfukuza. Popo anaenda karibu na wanyama lakini pia wanamfukuza.Popo analia .Anaruka juu na hajui afanye nini. Je, ni kwa nini ndege na wanyama wanamfukuza Popo? Je, popo atapata chakula?

    ISBN : 9789966342317

    Add to cart
  • Mastering a b c with Pictures (Smartbrains)

    Original price was: KSh438.00.Current price is: KSh395.00.
  • Mastering computers book 1 smartbrains

    Original price was: KSh555.55.Current price is: KSh500.00.

    Mastering Computers Book 1 (Smartbrains) by IT Panel Mastering Computers is a book intended for use by pre-primary pupils. It has been thoroughly researched on and introduces pupils to the simplest and most basic ways of computers.

    Add to cart
  • Mastering Computers Book 2 (Smartbrains)

    Original price was: KSh555.55.Current price is: KSh500.00.

    Mastering Computers is a book intended for use by pre-primary pupils. It has been thoroughly researched on and introduces pupils to the simplest and most basic ways of computers. ISBN: 9780996671828

    Add to cart

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us