Shop
Showing 1705–1728 of 2644 results
-
OUP Kiswahili Dadisi GD4 Wkbk by Oxford
Original price was: KSh566.00.KSh510.00Current price is: KSh510.00.Add to cartKiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa mpya wa Umilisi.
Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata
umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya
mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka. Kitabu hiki:
• kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa
• kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila mada.
• kina tathmini ya binafsi ambayo itamsaidia mwanafunzi kukadiria umilisi wake katika
mada ndogo zote.
Majibu ya mazoezi katika vitabu vyote vya Gredi ya Nne yanapatikana katika kitabu kimoja.ISBN: 9780195748758
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 1 Workbook
Original price was: KSh427.00.KSh385.00Current price is: KSh385.00.Add to cartKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi, Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umitisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani.
ISBN: 9780195747362
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 2 Workbook
Original price was: KSh511.11.KSh460.00Current price is: KSh460.00.Add to cartKiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mtataa mpya wa umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanofunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
ISBN: 9780195747379
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 3 Workbook
Original price was: KSh555.00.KSh500.00Current price is: KSh500.00.Add to cartKiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vyo mazoezi katika mtalaa mpya wa umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
ISBN: 9780195747386
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 4 (Approved
Original price was: KSh516.00.KSh465.00Current price is: KSh465.00.Add to cartKiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza.
Pia vinakuzo umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.ISBN: 9780195747867
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 5 Kitabu cha mwanafunzi (Approved) by J. Ndege, P. Kea, E. Osoro, Z. Mucheria
Original price was: KSh627.00.KSh565.00Current price is: KSh565.00.Add to cartKiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5, utapata:
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya.
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
• mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za
kijamii zinazokuza ujifunzaji.
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
• vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’.
Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu wa umilisi.ISBN: 9780195749052
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 6 by Oxford
Original price was: KSh627.78.KSh565.00Current price is: KSh565.00.Add to cartKiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha …
-
OUP Kiswahili Dadisi Workbook GD5
Original price was: KSh605.00.KSh545.00Current price is: KSh545.00. -
OUP Kiswahili Dadisi Workbook Grade 6 by Oxford
Original price was: KSh644.00.KSh580.00Current price is: KSh580.00.Add to cartKiswahili Dadisi Workbook ni msururu wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa wa Umilisi. Kila kitabu katika msururu huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
Kitabu hiki:
-kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa
– kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezeshamwanafunzi kujenga na kupanua umiliskatika kila mada.
-kina dokezo ambazo zinatoa maelezo zaidi kuhusu vipengele lengwa.
-kina tathmini ya binafsi ambayo itamsaidia mwanafunzi kukadiria umilisi wake katika mada ndogo zote.
-kina majaribio ya mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi.
ISBN: 9780195749700
-
OUP Kiswahili Fasaha Grade 8 (Approved) by Oxford
Original price was: KSh1,005.56.KSh905.00Current price is: KSh905.00.Add to cartKiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko
yanayokusudiwa katika mtaala.Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina:
-Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na
Kuandika – pamoja na matumizi ya sarufi kimuktadha-Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika
-Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa
-Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi
-Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa
-Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika
-Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.
ISBN: 9789914441482
-
OUP Let’s do Mathematics Activities Grade 2 Workbook
Original price was: KSh511.00.KSh460.00Current price is: KSh460.00.Add to cartLet’s Do Mathematics Activities Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the new competency-based curriculum. Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills, values and attitudes.
ISBN: 9780195747430
-
OUP Let’s do Mathematics Activities Grade 2 Workbook
Original price was: KSh511.11.KSh460.00Current price is: KSh460.00.Add to cartLet’s Do Mathematics Activities Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the new competency-based curriculum. Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills, values and attitudes. ISBN: 9780195747430
-
OUP Let’s Do Mathematics GD4 Wkbk by Oxford
Original price was: KSh566.00.KSh510.00Current price is: KSh510.00.Add to cartLet’s Do Mathematics Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the new Competency-based Curriculum.
Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills,
values and attitudes. This workbook offers:
• step-by-step examples to help the learners easily acquire Mathematics skills
• graded practice exercises to take care of learners of different learning abilities
• numerous practical activities to enhance the acquisition of skills.
A combined answer book is available for the Grade 4 workbooks.ISBN: 9780195748697
-
OUP Let’s Do Mathematics Learner Grade 5 (Approved) by B. Awuor, M. Ng’ang’a, C. Kiyiapi, M. Aketch, P. Kahoro
Original price was: KSh666.00.KSh600.00Current price is: KSh600.00.Add to cartLet’s Do Mathematics is a new series for the Competency-Based Curriculum. It is specially written to provide practical experiences that equip learners with knowledge and skills that will enable learners to develop a positive attitude towards mathematics as a learning area and also appreciate its importance in their everyday life. Books in this series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at enabling learners to acquire the core competencies and values as well as embrace the pertinent and contemporary issues (PCIS).
Let’s Do Mathematics Learner’s Book Grade 5 has:
• Numerous interactive activities to enable learners to acquire
practical skills to solve problems in their environment.
• Think and Do sections that comprehensively guides learners on how to tackle various problems in mathematics.
• Challenge sections aimed at bringing out critical thinking and problem-solving skills in learners.
• Home tasks to allow learners to engage family and the community in the learning process.
• Digital corner sections that allow learners to apply digital technology in learning.Together, the Learner’s Book and the Teacher’s Guide provide learners and teachers with all they need to succeed in the new Competency-Based Curriculum.
ISBN: 9780195749076
-
OUP Let’s Do Mathematics Wkbk GD5
Original price was: KSh605.00.KSh545.00Current price is: KSh545.00. -
OUP Let’s do Mathematics Workbook Grade 6 by Oxford
Original price was: KSh711.00.KSh640.00Current price is: KSh640.00.Add to cartLet’s Do Mathematics Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the Competency-based Curriculum. Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skilis, values and attitudes.
This workbook offers:
-step-by-step examples to help the learners easily acquire Mathematics skills
-graded practice exercises to take care of learners of different learning abilities
-numerous practical activities to enhance the acquisition of skills.
ISBN: 9780195749649
-
OUP Let’s do Maths Activities Grade 1 Workbook by OUP Kenya
Original price was: KSh477.77.KSh430.00Current price is: KSh430.00.Add to cartLet’s Do Mathematics Activities Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the new competency-based curriculum. Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills, values and attitudes.
ISBN: 9780195747423
-
OUP Let’s do Maths Activities Grade 3 Workbook
Original price was: KSh555.00.KSh500.00Current price is: KSh500.00.Add to cartLet’s Do Mathematics Activities Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the new competency-based curriculum. Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills, values and attitudes.
This workbook offers:
* step-by-step examples to help the learners easily acquire Mathematics skills
* graded practice exercises to take care of learners of different learning abilities
* numerous practical activities to enhance the acquisition of skills.
-
OUP Modern Agriculture GD4 Wkbk by Oxford
Original price was: KSh566.00.KSh510.00Current price is: KSh510.00.Add to cartModern Agriculture is a unique fun-filled series that comprehensively covers the new Competency-based Curriculum.
Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills,
values and attitudes. This workbook offers:
• graded practice exercises to take care of learners of different learning
abilities
• numerous practical activities to enhance the acquisition of skills
various home tasks aimed at involving the family and the community in the learning
process.
A combined answer book is available for the Grade 4 workbooks.ISBN: 9780195748772
-
OUP Modern Agriculture Grade 4 (Approved) by Wachira
Original price was: KSh566.00.KSh510.00Current price is: KSh510.00.Add to cartModern Agriculture is a new series for the Competency-Based Curriculum. It is specially written to provide practical yer Uta ey that equip learners with knowledge and skills that will enable them to develop a positive attitude towards agriculture as a learning area and also appreciate its importance in their everyday life. Books in this series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at enabling learners to acquire the core competencies and values as well as embrace the pertinent and contemporary issues (PCIs).
ISBN: 9780195747966
-
OUP Modern Agriculture Grade 5 (Approved) by Oxford
Original price was: KSh638.89.KSh575.00Current price is: KSh575.00.Add to cartModern Agriculture is a new series for the Competency Based Curriculum. It is specially written to provide practical experiences
that equip learners with knowledge and skills that will enable them develop a positive attitude towards agriculture as a learning area and also appreciate its importance in their every day life. Books in this series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at enabling learners to acquire the core competencies and values as well as embrace the Pertinent and Contemporary Issues (PCIs).Modern Agriculture Learner’s Book Grade 5 has:
-Starter activities at the beginning of every strand with probing questions to stimulate learner interest.
-Numerous interactive activities to enable learners acquire practical skills to solve problems in their environment.
-Home tasks to allow learners to engage family and the community in the learning process.
-Digital corner section that allows learners to apply digital technology in learning.
-Self-check section which is a platform for learners and teachers to test knowledge, skills and values attained in the learning process.
Together, the Learner’s Book and the Teacher’s Guide provide learners and teachers with all they need to succeed in the Competency Based Curriculum
ISBN: 9780195749090
-
OUP Modern Agriculture Grade 8 (Approved) by Oxford
Original price was: KSh872.23.KSh785.00Current price is: KSh785.00.Add to cartAgriculture Today is a series specially written to provide practical experiences that support the acquisition of skills for the Competency Based Curriculum. Books in the series have a wide range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at acquisition and appreciation of the core competencies, values, and Pertinent and Contemporary Issues(PCIs)
Agriculture Today, Learner’s Book Grade 8 has:
-Numerous interactive activities to enable learners acquire practical skills to solve problems in their everyday lives.
-Key points sections that provide facts on the concepts learnt.
-Challenge sections to enhance critical thinking and problem solving skills in learners.
-Wrap-up activity sections aimed at encouraging learners to apply knowledge learnt in class to solve real life challenges.
-Home task activities aimed at parental and guardian engagement.
-Check points for self-evaluation by the learners.
ISBN: 9789914441529
-
OUP Modern Agriculture Workbook Grade 5 by Oxford
Original price was: KSh588.89.KSh530.00Current price is: KSh530.00.Add to cartModern Agriculture Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the Competency-based Curriculum. Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills, values and attitudes.
ISBN: 9780195747157
-
OUP Modern Agriculture Workbook Grade 6 by Oxford
Original price was: KSh644.00.KSh580.00Current price is: KSh580.00.Add to cartModern Agriculture Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the Competency-based Curriculum. Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills, values and attitudes.
This workbook offers:
–stimulating activities that are arranged from simple to challenging.
–summary notes that help to refresh the learner’s knowledge about the content covered from Grade Four.
–structured assessment questions that enable the learner to measure his or her progress in understanding concepts developed from Grade Four.
–model summative assessment test papers that help the learner to prepare for the Kenya Primary School Education Assessment (KPSEA).
ISBN: 9780195749724