Shop
Showing 169–192 of 2644 results
-
CHAMPION BIRO PEN GREEN
Original price was: KSh11.11.KSh10.00Current price is: KSh10.00. -
CHAMPION BIRO PEN RED
Original price was: KSh11.11.KSh10.00Current price is: KSh10.00. -
Change of Heart by Violet Barungi
Original price was: KSh300.00.KSh270.00Current price is: KSh270.00.Add to cartThe NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.
The readers for each class are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last. Other titles for Class Eight
ISBN: 9780195736892
-
Chanzo cha Kiswahili Kitabu cha Kwanza
Original price was: KSh444.00.KSh405.00Current price is: KSh405.00.Add to cartKitabu cha chanzo cha Kiswahili kimekusudiwa kuunda msingi dhabiti wa lugha ya Kiswahili.
Kimeandikwa kuambatana na mfumo mpya wa C.B.C Kwa kuzingatia silabasi ya mfumo huu.
Pia kimenuia kuinua kiwango cha lugha Kwa kutumia mbinu za kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika.
Yaliyomo:
-Mazoezi ya kutosha.
-Hadithi fupi fupi .
-Picha za kuvutia.
-Msamiati wa kukuza lugha.
ISBN: 9780996671781
-
Chapuchapu by Walibora
Original price was: KSh261.12.KSh235.00Current price is: KSh235.00. -
CHECHE MASHAKANI
Original price was: KSh272.23.KSh245.00Current price is: KSh245.00. -
Cheche za Insha Gredi 6 story moja
Original price was: KSh755.56.KSh680.00Current price is: KSh680.00.Add to cart-Kinaakisi Mtalaa wa Umilisi
-Mazoezi ya ujuzi wa kidijitali
-Mwongozo wa uandishi hatua kwa hatua
-Nafasi za kufanyia mazoezi katika kila sura
-Vielelezo 25 vya insha zinazogusia Mtalaa wa Umilisi
-Ujuzi wa kuandika unaokuza ujifunzaji endelevu maishani
-Mazoezi ya kujenga msamiati yanayojikita kwa mwanafunzi
-Vichocheo zaidi ya 100 vya mazoezi ya kuandika insha bora
-Fursa ya kuchapishwa insha yako na kampuni ya Storymoja
ISBN: 9789966623911
-
Cheche za Insha Gredi 7
Original price was: KSh833.00.KSh750.00Current price is: KSh750.00.Add to cart- Kinaakisi mtalaa wa umilisi
- Mazoezi ya ujuzi wa kidijitali
- Mwongozo wa uandishi hatua kwa hatua
- nafasi ya kufanyia mazoezi katika kila sura
- Vielelezo 30 vya insha zinazogusia mtalaa wa umilisi
- Ujuzi wa kuandika unaokuza ujifunzaji endelevu maishani
- Mazoezi ya kujenga msamiati yanayojikita kwa mwanfunzi
- Vichocheo zaidi ya 90 vya mazoezi ya kuandika insha bora
-
Cheche za Moto
Original price was: KSh689.00.KSh620.00Current price is: KSh620.00. -
CHEFS CAP
Original price was: KSh388.88.KSh350.00Current price is: KSh350.00. -
Chema Chajiuza
Original price was: KSh589.00.KSh530.00Current price is: KSh530.00.Add to cartKizazi cha leo kimejaa una ki. Wengi wanapoajiriwa wanajidai ni
wafanyakazi waadilifu na wenye bidii kwelikweli. Kumbe wao ni
vinyonga wanaogeuza rangi ili wawasaliti mara ki na kuwaibia
waajiri wao! Hawana uaminifu wala huruma wanapotekeleza vitendo
vya ki sadi. Uadilifu, wema na utu ni misamiati migeni katika
maisha yao.
-
Chemchemi za Kiswahili Kidato cha 1 by Longhorn
Original price was: KSh677.00.KSh610.00Current price is: KSh610.00. -
Chemchemi za Kiswahili Kidato cha 2 by Longhorn
Original price was: KSh838.00.KSh755.00Current price is: KSh755.00. -
Chemchemi za Kiswahili Kidato cha nne by Wamitila
Original price was: KSh794.00.KSh715.00Current price is: KSh715.00.Add to cartChemchemi za Kiswahili ni mfululizo mpya wa vitabu vya Kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha Chemchemi za Kiswahili, Kidato cha Nne kimezingatia mambo yafuatayo:
- Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele.
- Maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengee mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi.
- Ufafanuzi kwa kina kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa kiubunifu, uandishi wa insha na utungaji wa kisanii.
- Uwasilishaji murua na unaoeleweka wa vipengee tofauti tofauti vya sarufi pamoja na mpangilio mpya wa ngeli.
- Usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida, vitabu n.k.
- Mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza yanayoburudisha na kushadidia vipengee mbalimbali muhimu kwa kuzingatia kiwango cha mwanafunzi wa kidato cha nne.
- Mifano kabambe ya karatasi za mtihani wa Kiswahili zenye muundo mpya wa mtihani hitimishi wa KCSE.
ISBN: 9966495274
-
Chemchemi za Kiswahili Kidato cha tatu by Wamitila
Original price was: KSh838.00.KSh755.00Current price is: KSh755.00.Add to cartChemchemi za Kiswahili Kidato cha tatu
by Wamitila
Chemchemi za Kiswahili ni mfululizo mpya wa vitabu vya Kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha Chemchemi za Kiswahili,
Kidato cha Tatu kimezingatia mambo yafuatayo:
- Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele.
- Â Maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengee mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi.
- Ufafanuzi kwa king kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa kiubunifu, uandishi wa insha na utungaji wa kisanii.
- Uwasilishaji murua na unaoeleweka wa vipengee tofauti tofauti vya sarufi pamoja na mpangilio mpya wa ngeli.
- Usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida, vitabu n.k.
- Mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza yanayoburudisha na kushadidia vipengee mbalimbali muhimu kwa kuzingatia kiwango cha mwanafunzi wa kidato cha tatu.
ISBN: 9966495258
-
Chemistry Today Form 3 by Mbaka Njeru, Samuel mwangi
Original price was: KSh1,066.00.KSh960.00Current price is: KSh960.00.Add to cartChemistry Today is a new series in chemistry specially designed to fully meet the objectives of the chemistry syllabus for secondary schools. The series has been developed by a team of teachers with vast experience in teaching and examining chemistry.
Chemistry Today Student’s Book 3
Has been written in a simple language that is easy to understand.
Offers a step-by-step guide to practical activities to the enable student to carry out experiments successfully and make accurate inferences.
Is highly illustrated to assist the student to understand concepts easily.
Highlights new developments in chemistry to bring the learner up-to-date with the most recent discoveries and developments in the subject.
Contains exciting and inspirational stories about pioneer scientists.
Includes a revision checklist to guide the student through the key concepts in each topic.
ISBN: 9780195742640
-
Chemistry Today Form 4 by Mbaka Njeru, Samuel Mwangi, Charles Tonui
Original price was: KSh1,111.00.KSh1,000.00Current price is: KSh1,000.00.Add to cartChemistry Today is a new series in chemistry specially designed to fully meet the objectives of the chemistry syllabus for secondary schools. The series has been developed by a team of teachers with vast experience in teaching and examining chemistry.
Chemistry Today Student’s Book 4
Has been written in a simple language that is easy to understand.
Offers a step-by-step guide to practical activities to the enable student to carry out experiments successfully and make accurate inferences.
Is highly illustrated to assist the student to understand concepts easily.
Highlights new developments in chemistry to bring the learner up-to-date with the most recent discoveries and developments in the subject.
Contains exciting and inspirational stories about pioneer scientists.
Includes a revision checklist to guide the student through the key concepts in each topic.
ISBN: 9780195742664
-
Chess Bag Chess Board Game Magnetic & Foldable
Original price was: KSh2,500.00.KSh2,000.00Current price is: KSh2,000.00.Add to cartThe Chess Bag Chess Board Game is a portable and convenient option for playing chess on the go.
Features:
- Magnetic Pieces: The chess pieces are magnetized, ensuring they stay in place during gameplay, even if the board is bumped or moved.
- Foldable Board: The chess board is designed to fold in half, making it compact and easy to carry. This feature also ensures that the board remains protected when not in use.
- Durable Construction: Made from high-quality materials, the chess board and pieces are built to withstand regular use and provide long-lasting enjoyment.
- Portable Bag: The set comes with a carrying bag, allowing you to conveniently transport the game wherever you go. The bag helps keep all the pieces organized and prevents them from getting lost.
- Standard Chess Board: The board follows standard chess specifications, with alternating black and white squares for traditional gameplay.
-
CHESS SET 2 IN 1
Original price was: KSh1,222.22.KSh1,100.00Current price is: KSh1,100.00. -
Cheupe na Cheusi 4f by Hamisi babusa
Original price was: KSh288.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00.Add to cartCheupe anapotumwa msituni usiku, hana habari kuwa dada yake, Cheusi, pamoja na mama yake hawamtarajii nyumbani tena. Hata hivyo, kile ambacho Cheupe anakutana nacho msituni kinabadilisha maisha yake kabisa.Cheupe na Cheusi ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wa kusoma na kuandika.
ISBN: 9780195739480
-
Chiche na Mwizi wa Redio 2g by Kabaji
Original price was: KSh211.12.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKitabu hiki kinamsaidia mwanafunzi kusoma na kuelewa lugha ya kiswahili kwa urahisi.
ISBN: 9789966255518
-
Chike and the River
Original price was: KSh311.00.KSh280.00Current price is: KSh280.00. -
Chiriku na chaki ya kijani na Hadithi Nyingine
Original price was: KSh322.23.KSh290.00Current price is: KSh290.00. -
Choices have Consequences
Original price was: KSh580.00.KSh525.00Current price is: KSh525.00.Add to cartSalvatore, a Class Seven lad, is grief-stricken! He has a crush on his class prefect, Mercy. But he hasn’t opened his heart to her yet. Why? He doesn’t know where to start! He confides in his friend, Kagoce. But Kagoce has bad news: some Class Eight blokes are eying the same girl!
ISBN: 9789914742619