Shop
Showing 2065–2088 of 2674 results
-
Shajara yangu ya klabu ya usomaji ya storymoja by Story Moja
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartIkiwa unataka kuwa mwerevu zaidi, mjuzi na mwenye kuvutia, soma vitabu vingi zaidi vya hadithi. Ikiwa unapania kuwa mbunifu zaidi ili siku moja uweze kuwa mvumbuzi au mjasiriamali, soma vitabu vingi Zaidi vya hadithi. Ikiwa unataka kazi yenye mapato mazuri na kuchangia katika maendeleo ya taifa katika siku za usoni, soma vitabu vingi zaidi vya hadithi.
Jaza shajara yako kila wakati unaposoma. Onyesha wazazi au mlezi shajara yako na uwaambie kuhusu vitabu ambavyo umevisoma. llinganishe shajara yako na za marafiki zako kisha msherehekee usomaji wenu iwapo mmesoma vitabu vingi. Kusoma kunawezesha! Kusoma ni poa. Kusoma kuna manufaa kwako!
MZAZI: SOMA PAMOJA NA MTOTO WAKO
Furahia uhondo wa kusoma pamoja na mtoto wako. Mtoto wako atavipenda vitabu maishani mwake na atajifundisha kwa wepesi endapo utazingatia hoja kumi rahisi zilizoorodheshwa hapa chini.
1. Soma pamoja na mtoto wako katika mazingira yaliyotulia kama vile kwenye chumba cha kulala.
2. Mhimize mtoto wako awe na mazoea ya kusoma hadithi nzima kwa kutumia viziada vya lugha kama vile kupandisha sauti.Asome hadithi nzima kwanza akilenga kuifurahia tu kisha aisome tena ili ajue yaliyomo. |
3. Mhimize mtoto wako ayaashirie maneno kwa vidole hasa anaposoma hadithi aliyokwisha kuisoma awali.
4. Chunguza kama mtoto wako anaelewa aliyoyasoma kwa kumuuliza maswali kuhusu michoro, wahusika na hadithi mara kadhaa.
5. Kuwa na mtazamo chanya kuhusu hatua anayopiga mtoto wako katika usomaji wake. Usimvunje moyo bali umsifu kwa kila hatua anayopiga.
6. Hakikisha kwamba mtoto wako anaisoma hadithi mara kadhaa.
7. Baada ya mtoto wako kuzoea kusoma hadithi fulani, mhimize ajaribu kukusomea baadhi ya maneno ya hadithi hiyo au hadithi nzima.
8. Mnunulie mtoto wako vitabu tofauti tofauti vya kuburudisha kama vile vitabu vya picha, vya kuchekesha na vya kuelimisha.
9. Mwonyeshe mtoto wako kwamba una nia ya kufuatilia na kujua hadithi anazozisoma kwa kumuuliza maswali kuhusu hadithi hizo. Pia mhadithie hadithi ulizosoma kwenye vitabu ulivyo navyo.
10. Uwe kielelezo bora kwa mtoto wako ili avithamani vitabu. Mwache mtoto wako akuone wewe ukisoma vitabu vingi.
ISBN: 9789966621948
-
Shajara Yangu ya Usomaji Kiwango cha 1
Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartIkiwa unataka kuwa mwerevu zaidi na mjuzi wa mambo mengi, soma vitabu vya hadithi.Ikiwa unapania kuwa mbunifu ili siku moja uweze kuwa mvumbuzi au mjasiriamali,soma vitabu vingi vya hadithi. Ikiwa unataka kazi yenye mapato mazuri na kuchangia katika maendeleo ya taifa katika siku za usoni, soma vingi vitabu vya hadithi .
ISBN:9789966622785
-
Shani katika njia panda by Story Moja
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartShani anakumbwa na furaha ya kupindukia rafiki yake, Jaki, anapomchagua kuandamana naye hadi Afrika Kusini.
Mjomba wa Jaki anajitolea kugharamia ziara hiyo. Hata hivyo, mamake Shani anashuku nia ya Mjomba kumpeleka mwanawe
Afrika Kusini. Mama anajaribu kumshawishi Shani kupuuza pendekezo hilo kwa kumwekea vikwazo. Shani aliye na hamu kuu
kwenda ughaibuni anakwea vikwazo vyote hadi mzazi wake anamkubalia kwenda Afrika Kusini. Mbona Mama Shani anashuku
ukarimu wa Mjomba? Soma hadithi ufumbue fumbo.ISBN: 9789966066800
-
Sharp kids CRE Grade 1
Original price was: KSh466.66.KSh420.00Current price is: KSh420.00. -
Sharpener – SHP1 by Veda
Original price was: KSh11.00.KSh10.00Current price is: KSh10.00. -
Sharpener – SHP2 by Veda
Original price was: KSh16.00.KSh15.00Current price is: KSh15.00. -
Sheila, Let’s Write to God
Original price was: KSh350.00.KSh300.00Current price is: KSh300.00.Add to cartThe Junior Readers Series has been specifically designed to encourage reading for pleasure and to satisfy the supplementary reading needs of children in Upper Primary School. Wide and repeated reading of books in the Series should help improve both their written and spoken English automatically.
This is a very exciting story about children at Mimosa Place, who are all HIV-positive. Why are they HIV-positive yet they are so young? How come there is no cure for HIV? Faith comes up with an idea of writing letters to God in order to get answers to these questions.
-
Shocking Landing 4c by Muriithi Maranga ISBN: 9780195729337
Original price was: KSh300.00.KSh270.00Current price is: KSh270.00. -
Short-changed! Starlit Readers
Original price was: KSh483.00.KSh435.00Current price is: KSh435.00.Add to cartWhatever is meant to be, will be. I am tired of keeping secrets!” Mr Kozia said. He was now ready to reveal all the details about the scandal he had covered up for many years. By this time, the school was also ablaze with all kinds of tales about Barbara…..
ISBN:9780195736144
-
Si Kupenda kwake 3b by Pamela M.Y.Ngugi
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartSi kupenda kwake 3b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tatu katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- Masimulizi rahisi ya hadithi.
- Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mzaha, hotuba na sentensi fupifupi.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya uadilifu shuleni na kuwahurumia na kushirikiana na wenye upungufu.
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. Vitabu vingine katika kiwango hiki ni:
ISBN: 9780195730654
-
Signal CBC Encyclopaedia Grade 1
Original price was: KSh1,377.77.KSh1,240.00Current price is: KSh1,240.00.Add to cartSignal CBC Encyclopaedia has been specifically designed to meet the needs of Grade One learners in supplementing the available course books. This book covers the entire Grade One curriculum as per the Competency Based Curriculum.
ISBN: 9789966960085
-
Signal CBC Encyclopaedia Grade 2
Original price was: KSh1,377.77.KSh1,240.00Current price is: KSh1,240.00.Add to cartSignal CBC Encyclopaedia has been specifically designed to meet the needs of Grade Two learners in supplementing the available course books. This book covers the entire Grade Two curriculum as per the Competency Based Curriculum.
ISBN: BK00000008760
-
Signal CBC Encyclopaedia Grade 3
Original price was: KSh1,177.00.KSh1,060.00Current price is: KSh1,060.00.Add to cartSignal CBC Encyclopaedia has been specifically designed to meet the needs of Grade Three learners in supplementing the available course books. This book covers the entire Grade Three curriculum as per the Competency Based Curriculum.
ISBN: 9789966199942
-
Signal CBC Encyclopaedia Grade 5 by Signal
Original price was: KSh1,577.00.KSh1,420.00Current price is: KSh1,420.00.Add to cartSignal CBC Encyclopaedia has been specifically designed to meet the needs of Grade Five learners in supplementing the available course books. This book covers the entire Grade Five curriculum as per the Competency Based Curriculum.
ISBN: 9789966199966
-
Read more
Nurture your learners’ spiritual growth with Signal Publishers’ ECDE Kiddie Foundation Religious Activities Workbooks. Tailored for pre-primary learners, these books guide young minds on a journey of discovery and understanding. Focused on religious activities and teachings in line with the Competency Based Curriculum, Signal CR Activities Workbooks incorporate interactive tasks, insightful narratives, and colorful illustrations to make learning about faith an enriching experience for your child.
-
Signal environmental Activities Grade 1
Original price was: KSh377.78.KSh340.00Current price is: KSh340.00.Add to cartSignal Environmental Activities Learner’s Activity Book is a KICD-Aproved course book authored by experienced classroom teachers who thoroughly researched and analysed the new curriculum design thus making it the best learner’s activity book. The book comprehensively covers the early year’s education Environmental Activities design. The language used is simple and attractive. The layouts are designed …
-
Read more
Longhorn Environmental Activities for Pre-Primary I Learner’s Book is a new coursebook that has been developed in line with the new competency-based curriculum for pre-primary education. It aims at enabling learners to explore. experiment and interact with the immediate environment It also enables learners to acquire skills that promote good health, safety, environmental conservation and appreciation of our rich cultural diversity.
-
Signal Environmental Activity Learner’s Grade 2 (Approved)
Original price was: KSh388.88.KSh350.00Current price is: KSh350.00.Add to cartSignal Environmental Activities Learner’s Activity Book is a KICD-Approved coursebook
authored by experienced classroom teachers who thoroughly researched and analysed the new
curriculum design thus making it the best learner’s activity book.
The book comprehensively covers the early year’s education Environmental Activities design.
The language used is simple and attractive. The layouts are designed attractively making
learner’s activity book is learner-friendly. -
Signal Hygiene and Nutrition Activities Grade 2 (Approved)
Original price was: KSh377.77.KSh340.00Current price is: KSh340.00.Add to cartSignal Hygiene and Nutrition Learner’s Activity Book is a KICD-Aproved course book authored by experienced classroom teachers who thoroughly researched and analysed the new curriculum design thus making it the best learner’s activity book.
The book comprehensively covers the early year’s education hygiene and nutrition design
The language used is simple and attractive. The layouts are designed attractively making learner’s activity book be learner friendly.
-
Read more
Embark on a captivating journey of linguistic exploration with Signal Publishers’ Kiddie Foundation Language Activities ECDE Workbooks. Specially crafted for pre-primary school learners, these interactive books offer a rich blend of engaging stories, language activities, and vibrant illustrations. Dive into a world where language learning is an exciting adventure, with diverse assessment activities and topical key learning points enhancing your child’s English Language skills. Watch as their language abilities flourish in an environment designed just for them.
-
Signs of Ageing 5a by Oxford
Original price was: KSh327.00.KSh295.00Current price is: KSh295.00.Add to cartThe NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten readers for each class with each specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
ISBN: 9780195729351
-
Siku za Juma 1a by Nyakeri
Original price was: KSh225.00.KSh203.00Current price is: KSh203.00.Add to cartJuma na Maria ni wanafunzi wa darasa la kwanza. Wao hufanya mambo mbalimbali kila siku. Mambo ambayo wanafanya nyumbani ni tofauti na mambo wanayofanya shuleni. Soma kitabu hiki. Utajua ni mambo gani Juma na Maria wanafanya.
ISBN: 9789966342478
-
Silent song and other stories (spotlight) by Edited by Godwin Siundu
Original price was: KSh722.00.KSh650.00Current price is: KSh650.00.Add to cartA Silent Song and other Stories is a unique collection of short stories from various societies across the world. They have been carefully selected to represent various generations of writers from diverse backgrounds.
The stories are meticulously sought and packaged to provoke interest in young Kenyan readers and help them encounter in-depth literary experiences. A wide range of techniques, settings and themes that are relevant to the contemporary issues affecting Kenyans have been addressed in the collection. These will expose the students to a rich diversity of perspectives that will result in appreciating the uniqueness of cultures across the globe.
ISBN: 9789966572813
-
Silly Monkey 3h by Muitungu
Original price was: KSh278.00.KSh250.00Current price is: KSh250.00.Add to cartThe publication titled The silly monkey was written by excellent writer
ISBN: 9780195733648