Cart

    Your Cart is Empty

    Back To Shop

      Cart

      Your Cart is Empty

      Back To Shop
      Sale!

      Uteuzi wa Chale Level 7 (One Planet) by Assumpta K.Matei

      Original price was: KSh333.00.Current price is: KSh300.00.

      ..binadamu ametunukiwa vipawa anuwai na Mwenyezi Mungu. Kuna vile ambavyo ni wazi kama meno ya ngiri
      ambavyo hata wenzake wanaviona. Kuna vile ambavyo sharti mja mwenyewe ajikune kichwa kuvitambua na kuvipalilia, hata
      kwa kusaidiwa na wengine. Hata hivyo, binadamu ana hiari ya kukikuza kipawa akitakacho. …uteuzi wa utakachotumia zaidi
      kwa ajili ya kuitumikia jamii yako utakuwa wako binafsi.”

      Uteuzi wa Chale ni kisa cha kusisimua kuhusu Chale, kijana anayejinyanyua kuvitambua vipawa alivyojaliwa na kuvikuza
      kwa manufaa ya jamii yake, licha ya vikwazo vinavyomkabili.  Hadithi hii inampa msomaji fursa ya kujitambulisha na mazingira yake na kumpa stadi za kukabiliana na_hali zinazomkumba.

      ISBN: 9789914410051

      Reviews

      There are no reviews yet.

      Be the first to review “Uteuzi wa Chale Level 7 (One Planet) by Assumpta K.Matei”

      Your email address will not be published. Required fields are marked *

      1 of 5 stars 2 of 5 stars 3 of 5 stars 4 of 5 stars 5 of 5 stars

      Sale!
      Make Your Order

        Cart

        Your Cart is Empty

        Back To Shop
        Call Us
        COMPARE PRODUCTS