1
KSh290.00

    Cart

    Sale!

    Wimbo wa Tembo by storymoja

    Original price was: KSh533.00.Current price is: KSh480.00.

    Malonza anakutana na mwanamke mrembo wa ajabu anapokuwa akiwinda wanyama
    karibu na Mto Tana. Mwanamke anakubali kuolewa na Malonza. Wanapokosa chakula,
    mwanamke anamwambia Malonza amsugue meno ili wayauze na kununua chakula. Hata
    hivyo, anamwonya asifichue siri ya meno. Malonza anafuata masharti. Anauza meno katika eneo la Pwani. Ananunua nafaka ya kuwatosheleza katika kipindi hicho cha kiangazi. Wafanyabiashara wanatamani meno zaidi. Meno mengine yatapatikana kweli?

    Author:
    Muthoni Muchemi
    Sale!
    Make Your Order
    1
    KSh290.00

      Cart

      Call Us
      COMPARE PRODUCTS